Habar wakuu kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu nina dukuduku langu moyon kuhusu hawa warembo wa chuo ni watu ambao hawafai kabisa kuanzisha nao uhusiano ambao uko seriously na ukamwamini na kama Una vijicent vyako hata havikutoshi kaa nao mbali labda uwe na pesa zako za kuharibu tu lakini bado utapata tabu sana.
Kuna mwanachuo 1 hivi kutoka chuo fulani nilibahatika kufamiana nae ktk harakati za kutafuta maisha basi tukaanzisha nae urafiki wa kawaida baadae Nika muaproach, nikakataliwa completely kwa sound zangu zote, basi nikajisemea moyon isiwe shida basi mawasiliano yaliendelea kidogo then yakakata, ikawa mpaka nimtafute mimi la sivyo kimya. Basi maisha yakaendelea siku zikasonga gafla wakati nami nimeacha kuwasilina nae kama wiki 2 hivi alikuja kwa speed ya ajabu ktk mawasiliano na mimi mpaka nikashangaa lkn kama mwanaume nikapiga moyo konde na kujisemea hii papuchi yangu, sijakaa vzur nikapigwa mzinga wa elfu 30 nikagoma binti akakomaa na mimi bado nikamkazia.
Badae nikaja kumpa sharti 1 tu (ukinikubalia nita take care inshu zako zote) lkn binti kachomoa katakata eti nimetumia kigezo ili kumnasa, nikamwambia kama hunikubalii pesa yangu hupati even if am your friend. Chakushangaza binti hakukata tamaa akakomaa na mimi sana ndani ya wiki 2 kila siku napigiwa simu za kutosha, kuchat kwa sana akilalamika ana shida nimsaidie kama rafiki atanilipa mpaka mwanaume nikalegea nikatoa 30+ kwa sharti la kuja kulipwa pesa yangu, siku ya ahadi ya malipo ilipofika kimya kilitawala na hajawahi nitafuta toka nimpe pesa. Siku 1 nikampigia akaniambia nisiwe na wasi wasi atanilipa tu, nikamwambia njoo basi kwangu akagoma... Siku zikasonga kimya kikatawala tuma meseji hazijibiwa piga simu namba busy mda wote daaah kumbe kuja kugundua nishablokiw kwa phone call and whatsap..
Aiseeee mwenyezi mungu anisamehe lazima nilipe kisasi kwa huyu mrembo no matter what ( I need to pay a revenge) nishaweka plan yangu safi mda ukifika nategua bomu.
Nawaasa vijana wenzangu wapenda papuchi kama mimi ikiwa hali yako si nzuri kifedha na ukiwa na malengo kaa nao mbali mana wao hawajui life la kitaa lko vipi wao wanajua mizinga tu until wamalize chuo . Ni ushauri tu kutoka kwa kijana wenu mkongwe na hawa watu whether you take it or ignore its up to your matter.