Mahusiano na wadada/ warembo wa chuo..

Mahusiano na wadada/ warembo wa chuo..

mkuu daah usitafute dhambi ya ef30

we ukitaka demu honga tu usimtongoze, honga yani usimchekee jifanye kama humtaki mkuu utaletewa mzigo bila shida nakwambia na utanishukuru
Acha niifanyie kazi hii maana mimi nami mgumu, ila nimejitoa muhanga nione kweli ntakushkuru au michosho tu
 
Msamehe mdada wa watu, usikute ndo aliishiwa kabisa akawa hana namna, ila amekosea kuwa jeuri hadi kukublock, kaa zako kimya zikiisha atakutafuta ndo utampa ukweli wake kwamba alizingua
 
Ah ah kijana unampango wa kumwendea kwa dean nn...dem wa chuo usimtongoze Kabla hujala papuchi atakusumbua
 
Alinambia nimfanye chochote nitakacho nisipo mlipa so lazima nimuomyeshe kwamba mi ni mwanaume
Calm down bro. Usiwe na hasira kiasi hiko tulia kaa kimya endelea na maisha yako. Huwa wanarudi.. alirud mara ya kwanza na atarudi tena kwa mara nyingine..
Maisha yatamchapa atarudi tena kwako.. akirudi hakikisha unamuonyesha mwanaume ni nani...
 
We jamaa tafuta hela asee mimi labda sijakapenda maana moyoni najua kabisa hakanipendi na nikijiweka kataniumiza mimi huwa nafanya hivi nachukua namba natuna 50,000 hapo hapo kama ni kati ya week nasema nimesafiri ntamtafuta jmos nimtoe jmos mchana nakapeleka na marafiki zake wawili nawapiga msosi wa nguvu naagiza vinywaji na mkononi nakapiga laki nakaambia ntakapitia baada ya hapo kama sio jmos basi jpili najilia vya bara ,nadhani hii inatokana na kuwa simchepukaji kiivyo lasivyo ningefilisika lazima chura iwe ya maana na nikipita narudia mara tatu tuuu full stop bajeti huwa ni 300,000
 
Kama kuna bom la nyukiclear la hatar zaid n hao watu Hawa wadada wa chuo n Moto wa petroleum kwa hyo

miznga yao me kuna mmoja huyo
Tunapelekana speed ya 180 acha
Kabsa
 
Mkuu nipe namba yake ntamlipia mimi......halafu pia utakuwa pengine huna mvuto ila Watoto wa chuo easy sana!!!!
 
Acha tu mkuu kuna mmoja ni rafk wa kawaida na tangu tujuane hazifiki wiki mbili Ila kashanipiga mzinga wa elfu 50,,_ndo nipo kwenye harakat za kubadili gia nikanyage mafuta nimuache njia panda,,,,,mtaani kugumu
 
Back
Top Bottom