MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Pengine hayo kwenye kundi hata moja hapo juu.Yeye ni mseja(mtawa-ameolewa na Bwana)Hahahaha!
Duh! Mjukuu bana!
We uko kundi lipi hapo?
Samahani kama nitakukwaza.
kote balaa, WENYE NDOA NASI PROFILE INAKUA IMEEXPAYA INAENDA KUAP' DATE NJE KISHA UNAKUTANA NA VIRUS..... TUWE MAKINI.....
Haka kaugonjwa kameingia sehemu mbaya sana.Yaani ndugu zangu anachosema Masoud ni kweli kabisa but ndo haifai kukata tamaa na kusubiri hebu tuchangiane mawazo ya nini kifanyike hasa kwa institution ya ndoa kwani still its a worthy institution
Mhhh
Hapa sasa!
Kwa kifupi..kuna vipengele vingi mno kwenye maambukizi ya VVU na UKIMWI hayazungumzwi wala kuwekwa kwenye programming.
Ndio maana huu mpango mpya wa 2008-2012 National Multi Sectoral Strategic Framework on HIV/AIDS imeliona hili na kuliwekea mkakati ili kuwalenga wale waliokuwa hawafikiwi - MSM/ mashoga, watumia dawa za kulevya nakadhalika kitu ambacho mikakati iliyotangulia hakuzingatia.
Sasa hivi kuna idadi kubwa sana ya MSM (Men having Sex with Men) .Tutashangaa lakini ni ukweli kuwa ni wengi kuliko tunavyodhania - wapo wenye maradaka/vyeo - wenye kuheshimika katika jamii lakini wanafuga vijana waogo wa kiume.Ni kitu nakiongea kwa kujiamini - sijaambiwa na mtu bali nimeweza kuongea na baadhi ya vijana hao kama walivyoongea na Radio Clouds jana! Mmoja wa vijana hao aliweza hata kusema kuwa ameambukizwa lakini " mwanaume" wake hajui na pia huwa ana cheat na wanaume wengine pale mwanaume wake akisafiri.
Wanandoa nadhani wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa kuliko wale wasiokuwa ndani ya ndoa.Hivyo wanandoa jihadharini TUMIENI KINGA HATA KAMA MMEOANA!
Ni kweli De Novo wote tuko katika risk but tukisema mtu akiamua kuwa makini na maisha yake kwa hali halisi mtu single anaweza akasimama na kujilinda tofauti na married kwani inatengemea na partner wako!! Sasa mfano hao waume ambao wanachukua mashoga wakati wake zao wako masomoni au safarini au wake wanaotoka na watu wengine aka ving'asti, mabuzi (sijui kama bado hili jina latumika) wote hao partners zao wanajiamini kuwa wako salama.Regardless of the "group" we are all equally at risk! and we should remember that it only takes one successful exposure to ruin....
Aksante Dada hapo kwenye red ndo nilipokuwa naogopa kupasema. Jamani wenye ndoa tusijiaminishe tuko katika hatari zaidi- Yaani jana I completely agreed with the single- group. WoS umesema tutumie condom mh hapo napo pagumu!!
MJ1,
U want to be safe CONDOMIZE hata kwenye ndoa shosti!UKWELI SI NDIO HUU?
Tumeshaambiwa kuna hatari zaidi humo - bado utajidanganya tu kuwa uko kwenye B ? 1 faithful partner?
A- Abstain
B- Be faithful
C- Condomize
D - Do-It-Yourself!
E-
Endelezeni alphabet kuhamaisha kupambana na ukimwi!
Hali yatisha ndugu, hapa twazungumza lakini toka usiku especial siku za weekend, hali utakayoikuta kwenye majumba ya starehe ni hatari, sijui kama UKWIMI usingekuwepo hali ingekuaje. Na huo mkutano wao wakutufungia mabarabara kuna profesional malaya washaingia.. na Babu Zuma yupo kaazi kwer kwerhahaha unaguna huamini au unaogopa ukimwi?
Hili ni janga la kitaifa sijui tufanyeje litokomee
Mwinyi alisema Gonjwa hili limekaa sehemu mbaya...
hapo mama unatupeleka porini.........mj1,
u want to be safe condomize hata kwenye ndoa shosti!ukweli si ndio huu?
tumeshaambiwa kuna hatari zaidi humo - bado utajidanganya tu kuwa uko kwenye b ? 1 faithful partner?
A- abstain
b- be faithful
c- condomize
d - do-it-yourself!
E-
endelezeni alphabet kuhamasisha kupambana na ukimwi!