Mahusiano na mwanajeshi...

Hahahaha dah mjeda yupo distance tena asicheki warembo eti kisa yupo nawe... Be serious bwana... Hayo malong distance ni kudanganyana tuu... Vipi mjeshi alikuwa kashakula mzigo nini
 
Wengi wanawezana wenyewe
mademu wengi wanawatumia kama madanga
 
Salute kwenu makamanda, ila nawasema tu kidogo hapa.

Mdada hao watu ni mal aya ova. wanakuwaga na wanawake wengi hatari.

Kuna mmoja alinitokelezea, yaani hata hatujafikia muafaka, keshanichanganya, mara nimekuona kituoni mara nilikuona na chupa ya chai hosp.

Eee Mungu nilimkimbia, (hakunila maana hamchelewi)

Dada ushukuru tu hao ni wao kwa wao wakishindwana ni wanajuana.

Heshima kubwa sana kwenu walinzi wa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
achana na soldiers,njoo kwetu wahasibu ule raha za dunia bibie.
 
Reactions: amu
nakukumbusha tu baby! Mama. "sisi huku tuna kitu; inaitwa WWW3 namaanisha: WAR~WOMAN~WISKEY hvo we ni sehem yangu kukutumia; wakat napoza uchovu wa koz!/kaz! Ngum!!! Any way...nishakujua pr!sca!! Wangu.' kwa sasa niko darful, sudan!!! Nikilud takutafta.
 
Lab
Labda nafanana na huyo unaemsema but Mimi siye 😊🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…