Mahusiano na mwanajeshi...

Mahusiano na mwanajeshi...

Belleringal

Member
Joined
May 25, 2020
Posts
83
Reaction score
155
Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"

Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.

I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.

Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
 
Labda yuko bize na kujifunza kutegua mizinga, pia nimefurahi umesema si,mwanajeshi wa kwanza kuwa naye kumbe una uzoefu,nao. Pole sana na tafakari wapi unakosea tafuta aliye sahihi maisha yaendelee. Good lucky
Thank you
 
Back
Top Bottom