Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
😂Ah wapi stakiPole sana Angel, na mimi naomba tuchat Whatapp
Hilo nalo ni kweli 😂Angesema anatokea kwa mpalange usingehangaika kuonana nae ila nguvu ya Dubai imekufanya umkubali kabla hamjaonana teh!
Hadithi yetu inatufundisha tuachane na tamaaa
Hope hukuliwa kweli kama ulivyoandika hapo
jamani Angel mimi sitokupeleka lodge😂Ah wapi staki
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa tabata kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?
Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( ilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu [emoji4][emoji119]
jamani Angel mimi sitokupeleka lodge
Halikuliwa bhn😂Tunda halikuliwa ki masihara hapa[emoji28]??
Wait nalea KWAnza mtaniua badaeWatu wapumbavu muanze kuuwawa mmoja mmoja.