Dah, pole sana mkuu ila nachoamini ni kwamba kila kitokeacho kina sababu and what was meant to be shall be. Huyo uliingia choo cha kike aisee na afadhali alijiondokea zake bado mapema kabla hajakuingiza kingi. Mm huwa nasikitika sana kuwaona wadada wanao kurupuka na kuanza kuwatangazia halaiki juu ya mambo yao ya siri, utakuta mtu hata hajatulia na kumjua mtu vizuri ila tayari keshapost picha za huyo mpenzi wake na kuweka maneno kibao siku wakija tibuana inakuwa balaa!
Tunakuombea kwa Mungu umpate mke mwema atakaye kufaa katika ujana na uzee wako, all the best bruh!