Mahusiano na mawasiliano

Mahusiano na mawasiliano

Wakati mwingine unakua unampenda.......lakini simu kila saa kila saa......kwa kweli mimi inanipotezea mood......tena hasa pale ninapokua nafukuzia moto........inanikata stim.......sipendi......
Kwa mbaaalii Naona kama unafaa kuwa Karibu na Mimi.. Nikiwa kwenye Mishe za pesa hata unipigie na kunambia upo kwangu Aisee Hutaniona kabisaa
 
Hawa wakoje?? Nisije kwa mmoja wao!!!
tihi...huwezi kukosekana kwenye orodha ya mandingo wewe ila siwezi kukutajia sifa zao maana mandingo wa mmoja ni mstaarabu wa mwingine. Si unaona wengine hawapigiwi simu wala kutekstiwa siku 2 na wameridhika wakati kwangu huo ni umandingo?! Usinipigie simu siku 2 nitakuvumilia kama ni occasionaly lakini si kila siku we uko busy na the so called kazi. Kazi, kazi, kazi kila siku kwani mnaninhii???
 
Mimi kwa siku txt si chini ya 20!!!! Simu kama kumi hivi......!!!
 
Mimi kwa siku txt si chini ya 20!!!! Simu kama kumi hivi......!!!
khaa!! hapa ndo ntaambiwa "wanawake sijui mnataka nini!". text na simu zote hizo za nini? Moderate ndo mpango mzima. Ila kama nina tatizo la kuharisha na kutapika hizo 20 na 10 zinaweza kukubalika maana unafatilia hali ya mgonjwa. Hivi hivi tu mahaba yanageuka kuwa kero.
 
Napenda mwanaume anayejali kila anapopata muda ananijulia hali ananiuliza umekula? Umevaaje,unafanya nn, umeshindaje yaani ni raha ila ndo mpaka umpate

Dah,kumbe unapendaga hizo kali eeh Ladymilly. Im gifted with such talent kama niaje ni p.m kwa fasi nikupege sample!
 
Last edited by a moderator:
Wabongo MNA amini kupigiana cm hovyohovyo ndio upendo wa dhati kumbe wapi...!!!95% ya watanzania wana penda sana ngono by twaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom