Mahusiano na mawasiliano

Mahusiano na mawasiliano

yaani acha tu ndg hilo ndilo ninalopitia kwa ss mda wote kichwa cha moto maan ht celew nipo upande gn

Pole maana hyo hali n mbaya inauma aisee na ukijarbu kuuliza majibu n ya mkato
 
umejuaje!!! cm upige ww bdo majibu ya mkato upewe na ukikat cm ht hajishughulishi kupiga. mtu km unaon hivo bora tu upembue zip chenga na upi mchele. na mtu km hakupend tn bor awe wazi tu
 
Kabsaaa ndo cha msingi hapo kuchambua pumba,na mchele unachagua moja wapo,,,,,sema ndo unajipa moyo hali itabdilika na kurud kama zaman lkn kujifarji hvo lkn ndo kumbe haiwezekan unazd. Kupoteza mda.

Kukuambia kwa mdomo n ngumu mtu hutumia matendo
 
Uyo mwanaume wa kupiga simu Mara zote atakua hana kazi mchana.

Kuna kadada karembo nilikuanako Kanataka kakituma mesej ukajibu saiyo iyo utafkir Mimi voda.

Kanapiga xm kila SAA unashindwa Fanya kaz. Ukikapogia jioni eti kamesusa akapokei xm nyooooooooo apo nakupotezea kabisa, mid a ya kaz unaleta mapenz
 
Haa haa haa mkuu hayo n yale mmeonana jana kesho yake anataka uwepo tena hawaz kuna kaz warembo hawajuag km kuna kufanya kaz
 
Kwa mbaaalii Naona kama unafaa kuwa Karibu na Mimi.. Nikiwa kwenye Mishe za pesa hata unipigie na kunambia upo kwangu Aisee Hutaniona kabisaa

Mkuu unakuta mtu upo busy na kazi mara simu inahita mara text kiukwel inapoteza kama mood...kama mtu unampenda unampenda kwani simu ndio moyo
 
Tatizo lao hawajiamini hawa.. Yani muda ambao ww upo busy na kusaka pesa eti wanataka uwapigie.. binafsi napiga pale ninapokuwa na muda wa kufanya hivyo... Simu Sio kipimo cha kupendwa.. Unaweza Ukawa unapigiwa cmu muda wote kumbe watu wanakung'ong'a Kisogo
 
in 啊特个么啊呐马瓦寺怜噢 业内野味麻烦哦 卡吗 呐 location u 里哟破
 
Haa haa haa mkuu hayo n yale mmeonana jana kesho yake anataka uwepo tena hawaz kuna kaz warembo hawajuag km kuna kufanya kaz

co kwamb mda wote muwacliane hpn ila kuna mda wa lunch na pia ht uck pia mnakuw kzn? tushawajua mkishamchok mtu kusem hamuwez ila vitendo tu ndio zenu
 
Tatizo lao hawajiamini hawa.. Yani muda ambao ww upo busy na kusaka pesa eti wanataka uwapigie.. binafsi napiga pale ninapokuwa na muda wa kufanya hivyo... Simu Sio kipimo cha kupendwa.. Unaweza Ukawa unapigiwa cmu muda wote kumbe watu wanakung'ong'a Kisogo

hahaha nimeipend hiii
 
co kwamb mda wote muwacliane hpn ila kuna mda wa lunch na pia ht uck pia mnakuw kzn? tushawajua mkishamchok mtu kusem hamuwez ila vitendo tu ndio zenu
Kama Simu ni kipimo cha Upendo basi mimi nimefeli katika Hilo.. Napiga simu pale ninapokuwa na muda pia huwa nachukia sana kupigiwa simu saa sita za usiku kwa kuwa nakua nimechoka na nahitaji kupumzika. kama kukupenda nakupenda na hata kama sijakupigia wala kukutext haipunguzi mapenzi yangu kwako.. Tatizo Mambo Ya Bongo movie na Tamthilia zenu za kikorea mnataka muyaingize kwenye mahusiano kitu ambacho ni Vigumu
 
ni ngumu kukaa siku tatu bila mawasiliano. uchumba unakuwa haupo kama hizo siku tatu hamjawasiliana hamna sababu za msingi,ila kama kuna sababu za msingi kukaa kimya basi uchumba upo
 
co kwamb mda wote muwacliane hpn ila kuna mda wa lunch na pia ht uck pia mnakuw kzn? tushawajua mkishamchok mtu kusem hamuwez ila vitendo tu ndio zenu

Wanajichetua humu hawana muda wakati kutwaaa wapo humu jf na kwenye mitandao ya kijamiii, ila muda wa kumcheki mtu anayedai anampenda hana!! Mfyuuuuuuuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom