ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,345
- 8,565
mbiiiiii uwe mnanso muzaaa?
Izaa duu! Olaeleyani mntua
mbiiiiii uwe mnanso muzaaa?
nyieeee ukidate na hawa wenzetu wa rangi tofauti ambaye ana jazi zake rasmi tu anafanya mahali utalia machozi wako very strict na muda , kama nikupiga hupiga once per day akikuaga ni byee baby i will call you tomorrow if i wont be too busy, akiwa ametoka kazin kachoka sana hakupigii aisee, yaan style yetu yakujaliana kwa sms kila saa sahau, zikipita siku mbili hajakutafuta roho inakupasuka unaumia akikutafuta yuko serious i was so busy working baby i miss you a lot ewwwhhh jaman hawa watu mahaba niue utayapata kwa dakik chache tu jaman akiwepo
sisi waafrica kila kitu chetu ni tofauti aisee nlipataga shida sana mmmmh
Cc: atoto, ICHANA
Apologise lady mwenzako huyu!
[/COLOR][/SIZE][/B]
sio wote.......wengine hizo ni kero mara dufu..........
Siku mbili hujapokea simu wala text? Huo sio uchumba,labda u boyfriend na girlfriend.
Kwangu ni kero kama am not into you, ila kama nakupenda napenda mnooooo.
Wakati mwingine unakua unampenda.......lakini simu kila saa kila saa......kwa kweli mimi inanipotezea mood......tena hasa pale ninapokua nafukuzia moto........inanikata stim.......sipendi......
Not kila saa simu, ila ile unapitisha siku haujamtafuta mtu kabisaaa alafu unasema unampenda kweli??
Kupitisha siku hapana........hiyo ni too much......ila kwa mtu wako anajua muda sahihi.......
kasumba au imani ni kitu kizuri sana aisee. hii angefanya mswahili angeonekana hana mapenzi, ana mchepuko hajali sijui nini kwa sababu ni mweusi, ila akifanya mzungu ni uzungu - ndivyo walivyo - kumbe kuna wazungu wengi tu wanaojali mawasiliano na wapenzi wao na hupiga simu au kutext mara kadhaa kwa siku. kama kuna mzungu workerholic basi hata mswahili anaweza kuwa workaholic. Sisi wote ni sawa na mahitaji yetu ya kupendwa yako sawa bila kujali rangi zetu. kuna wazungu wenye michepuko, kuna wazungu walevi, kuna wazungu mabondaji, watukanaji kama kulivyo na waswahili wastaarabu na waswahili mandingo.nyieeee ukidate na hawa wenzetu wa rangi tofauti ambaye ana jazi zake rasmi tu anafanya mahali utalia machozi wako very strict na muda , kama nikupiga hupiga once per day akikuaga ni byee baby i will call you tomorrow if i wont be too busy, akiwa ametoka kazin kachoka sana hakupigii aisee, yaan style yetu yakujaliana kwa sms kila saa sahau, zikipita siku mbili hajakutafuta roho inakupasuka unaumia akikutafuta yuko serious i was so busy working baby i miss you a lot ewwwhhh jaman hawa watu mahaba niue utayapata kwa dakik chache tu jaman akiwepo
sisi waafrica kila kitu chetu ni tofauti aisee nlipataga shida sana mmmmh
kasumba au imani ni kitu kizuri sana aisee. hii angefanya mswahili angeonekana hana mapenzi, ana mchepuko hajali sijui nini kwa sababu ni mweusi, ila akifanya mzungu ni uzungu - ndivyo walivyo - kumbe kuna wazungu wengi tu wanaojali mawasiliano na wapenzi wao na hupiga simu au kutext mara kadhaa kwa siku. kama kuna mzungu workerholic basi hata mswahili anaweza kuwa workaholic. Sisi wote ni sawa na mahitaji yetu ya kupendwa yako sawa bila kujali rangi zetu. kuna wazungu wenye michepuko, kuna wazungu walevi, kuna wazungu mabondaji, watukanaji kama kulivyo na waswahili wastaarabu na waswahili mandingo.
Yap, hii muhimu, si unajua tena hawa ndugu zetu ni km watotoHivi mnawezaje kupitisha siku mbili hamjawasiliana halafu mnadai kua ni wachumba? Unaanzaje kulala wakati hujui mchumba wako ameshindaje? Mawasiliano ni kitu cha msingi sana halafu ukitaka kuaminika kwa mchumba wako wa kike yaani ni bora upige simu kwa sana kwasababu wanawake wanapenda sana ku tekiwa care na visimu vya hapa na pale. Ni hilo tuu usiku wa leo