Isemee nafsi yako ila wengine mhh!,hakuna bin adam asiekuwa na mapungufu ila baadhi ya kina dada ni mtihani kwakweliTupo tunaojitambua nyie mnahangaika na instagram wanawake wanaojielewa hawako huko mkuu
Nilivyokuwa nausubiri mwaliko kwa hamu!!! Nitumie nauli basi.Kwema lkn! Uje basi unitembelee huku unakokuita ughaibuni labda nitaijua hiyo child support kupitia wewe
Kuna shida basi.... Usiache tu kujaNilivyokuwa nausubiri mwaliko kwa hamu!!! Nitumie nauli basi.
Kwanini nisije!!! Kuja lazima, we tuma tu nauli.Kuna shida basi.... Usiache tu kuja
Teh hayaKwanini nisije!!! Kuja lazima, we tuma tu nauli.
SawaIsemee nafsi yako ila wengine mhh!,hakuna bin adam asiekuwa na mapungufu ila baadhi ya kina dada ni mtihani kwakweli
Umejibu kinyonge mpaka nimejisikia vibayaSawa
Sipendi kubishana tuUmejibu kinyonge mpaka nimejisikia vibaya
hiki ndicho ulichopitia nini mkuu maana umeongea kwa uchungu kweliIssue ni pale unapoingia kwenye mahusiano na mwanamke wa ughaibuni uliko, ameshakuamini na kumbe home una mke na watoto na mbaya zaidi mke wa home hajawahi kukufanyia kosa lolote yaani amekuvumilia kutoka chini hadi hapo ulipo. Huyu wa ugenini ashafunga masuala ya kuzaa na anamuhitaji mtoto wako umlete ughaibuni asome (maana ulishawahi kumwambia nina mtoto mmoja tu nilizaa na girlfriend wangu tuliyeachana nae). Maisha unaona kabisa yana future lkn nyumbani ndo hivyo hukuwaweka wazi. Anapanga kuja na wewe nyumbani kwenu kuwasalimia wazazi harafu wazazi ni wakristu wanaoamini katika ndoa moja na mke wako aliyepo home ndiye wanampigia saluti. Duh yaani inabaki tu kuwa KAMA.......
Hahaahaa!acha upelelezi mkuu!hiki ndicho ulichopitia nini mkuu maana umeongea kwa uchungu kweli
Stress za mapenzi tu mkuuMzee muuza simu kwanini uwe na upweke?
Ndiyo ninayoyapitia kwa mwanamke raia wa Marekani (aliolewa huko) ila anaishi kikazi South Africa na chimbuko lake (mababu zake Botswanahiki ndicho ulichopitia nini mkuu maana umeongea kwa uchungu kweli
dah!Ndiyo ninayoyapitia kwa mwanamke raia wa Marekani (aliolewa huko) ila anaishi kikazi South Africa na chimbuko lake (mababu zake Botswana
hahaha ni swali tu mkuuHahaahaa!acha upelelezi mkuu!
Uwiii Kaka me ni binti mwema kuliko wote unaowajuaSister sikuhizi amekuwa mbabe na korofi veve
Haha haya nakuaminia.... BTW nimekumissUwiii Kaka me ni binti mwema kuliko wote unaowajua
Nakukumbuka sana pia,, sema sijui nani kakubana ivo adi unikumbuki!!Haha haya nakuaminia.... BTW nimekumiss