usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,097
Mhhh!!!,,, Jimbo lmepataSijadaka hata moja rusha tena
Mbunge au bado
Mhhh!!!,,, Jimbo lmepataSijadaka hata moja rusha tena
Jaribu tena usichokeMhhh!!!,,, Jimbo lmepata
Mbunge au bado
wewe Uzi mzima umeishia kuona hapo tu ...wake up dude"" mtu kaelezea vyema kabisa ..kuwa unaweza ukaitoa hiyo child support nabado ukakosa haki ya kuonana na Watoto wako "" yaani baba una kuwa huna tofauti na jirani tu"" lakini hilo hujaliona waanza kukomaa kwenye child support tu "" daaah wabongo ipo kazi ktika kuelewa """Kama mtoto ni wako kwanini uogope kuhusu Child support? Kwahiyo ukizaa na wanyumbani ndio hutakiwi kutoa Child support?
Kwa uzi huu, kama upo bongo sidhani kama kwa Makonda ulikosa!
Inaonekana Jimbo linawagombea wengiJaribu tena usichoke
hahaaaKuna jamaa analia kaoa mzungu kumbe mzungu mwnyw ni msagaji anaishi kwa kupiga nyeto mpk anajuta miaka karibia hamsini hana mtoto ana stress za kufa mtu mzungu kambania hataki kuzaaa
Tulieni na sie tu hata km hatuna kitu wajameni
very true""Tupo tunaojitambua nyie mnahangaika na instagram wanawake wanaojielewa hawako huko mkuu
HahahaaaAmerudi anauza simu used tuu

Na ole wake atie mguu Uko ughaibuni atakamatiwa airport apambane singida tuu kuuza simu used

Baby kwani hao wako ughaibuni kama mimi?

siku hizi umeoa mbona umepotea hiviHiyo ni kweli chid support ni lazima pale unapoachana na mke au mpenzi hiyo ndio ilimkimbiza le mutuz akirudi akifika airport lazima apokokelewe na pingu moja kwa moja jela
Nawaita ili nao waende ughaibuni angalau wapate cha kutusimulia.Baby kwani hao wako ughaibuni kama mimi?![]()
Kuna niii hapa mie mwisho wangu Arusha
Sister sikuhizi amekuwa mbabe na korofi veveAmerudi anauza simu used tuu
Kwani arusha sio ughaibuni?Kuna niii hapa mie mwisho wangu Arusha
Ni ughaibun kwako weye utokae nanjilinjiKwani arusha sio ughaibuni?
Kwema lkn! Uje basi unitembelee huku unakokuita ughaibuni labda nitaijua hiyo child support kupitia wewe