Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,504
- 40,569
Usipokuwa makini unaweza kuhisi unapendwa kutoka moyoni, kumbe kinachopendwa hapo ni uwezo wako wa kugharamia mahitaji (pesa) kwa sasa. Unaweza kupewa sifa zote, kumbe zote ni kalaghabao ngoja pesa iishe ndio utagundua ukweli. Kutokana na ugumu au changamoto za maisha, wengi wamejikuta wapo kwenye mahusiano batili, ila upande mwingine usionufaika kwa 100% ukiamini ni mapenzi ya kweli; ila pale uchumi unapoyumba ndipo ukweli upatikana, wahusika kugundua walikuwa kwenye mahusiano ya kuigiza.
Muhimu kujua, maisha ya uhusiano si kuchomeka na kutoa tu bali pia kuvumiliana pale penye changamoto za kila aina, uchumi kuyumba, afya kutetereka n.k
Muhimu kujua, maisha ya uhusiano si kuchomeka na kutoa tu bali pia kuvumiliana pale penye changamoto za kila aina, uchumi kuyumba, afya kutetereka n.k