Mahusiano- Mchongo chini ya kizibo

Mahusiano- Mchongo chini ya kizibo

Hahahaaaa, mkuu humu mwanamke wa rika ninayotaka siwezi kupata nahakika.

Kwani rika ninalotaka wengi huwa bado wahoga nani wachache sana humu JF.

So, siwezi waste my time kujtafutia mpenz humu kwa sasa.

Labda miaka ijayo.
unajitafutia demu kwa mgongo wa mtu mi nilijuaga madomozege washaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona uzi huu,
Dhumuni limejifcha sana just why siwaoni wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umeweka mbwembwe kibao hadi uzi umekuwa mrefu wakati ilikuwa ni kuweka vigezo vya huyo unayedai ni rafiki yako na sifa anazozihitaji kwa mwanamke anayemuhitaji

Halafu kuandika umri miaka 27-29 ndio nini sasa?ungeweka tu umri wake sababu hata hatumfahamu
 
Kuna vitu muhimu umeviacha mfano Dini ya huyo mlengwa.
Anataka mwanamke mwenye sofa zipi.
Hii inamfanya mtu anajitathimi kwa hatua ya kwanza kama anafit then ndio aje pm sio mtu anakuja huko unaanza ooh anatakiwa mwembamba wewe mnene kupotezeana muda.
Weka vigezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa hamnazo kabisa unaamua kujipigia promo huku unamsingizia rafii yako. sa unashidwa nn wakt shy madem wamejaa tele au ndo udomo zege.
umeniangusha sana we muraa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanamke ambae anasifa za kua mke alafu ni mbaya,
Wenye sifa wote wazur.

Coz hakuna hajuaye kua nitaowa mnene au mwembamba, mrefu au mfupi.
Kuna vitu muhimu umeviacha mfano Dini ya huyo mlengwa.
Anataka mwanamke mwenye sofa zipi.
Hii inamfanya mtu anajitathimi kwa hatua ya kwanza kama anafit then ndio aje pm sio mtu anakuja huko unaanza ooh anatakiwa mwembamba wewe mnene kupotezeana muda.
Weka vigezo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom