Mahusiano- Mchongo chini ya kizibo

Mahusiano- Mchongo chini ya kizibo

Siku zote nimekua nikisema kuwa mwanaume mtulivu katika mapenz au mahusiano yake huwa sio mwanaume wa kukaa kuangalia wanawake na kutaman mala kwa mala.

Huwa busy na kazi pamoja na majukumu mbalimbali ya kinyumban na kidini, kupenda majukumu hutufanya kutulia endapo tutaingia kwenye mahusiano.

Mwanaume huyu tunamtoa katika kundi la wanaume malaya yan wapenda michepuko.
Pia mwanaume huyu ni mgumu kutongoza kutokana na ubusy wake au hutongoza mala chache chache sana. Pia ni wepesi kukata tamaa kwa wanawake wenye malingo mengi.

So wengi wao huishia kuowa wanawake wanaofanya nao kazi au wanawake wa kawaida sana na wenye akili kwa sababu mahusiano yao yalijengwa na ushirikiano mzur kati yake yeye na mwenza wake ambae mwenza huyo aliweza kutambua mapema kuwa mwanaume huyo ni husband material.

Nina rafik yangu ambae tulisoma chuo kimoja,
Umri wake 27-29.
Maji ya kunde
Ni mrefu wa wastan
Alikua akipenda kucheza mpira, kwa sasa kapunguza kutokana na kazi kuongezeka kidogo.
Sifa tajwa hapo juu zote anazo.

Yeye ni police officer pia ni clinical officer (Doctor) anafanya kazi ya udactar muda mwingi kwa sasa.

Dhumuni la Uzi huu ni kuwa.
Nataka bidada anae htaji mume,
Na anajiamini kuwa anaweza kuwa karbu nae na akajing'olea zake husband material huyu kiulain kabisa.

Mimi nitakua kama kiunganishi, nitamuunganisha rafiki yangu huyu na bidada yeyote atakae kua tayar
Njoo PM.

Kwa sasa nipo mkoa wa shinyanga na ndio mkoa anao fanyia kazi rafik yangu.

Mimi age yangu ni 23-25
So rafk yangu ni mkubwa kwangu ila tunaukaribu mzur.

NB: Sijamshirikisha jambo hili rafik yangu.

By Dr. Suriya (the street psychologist)

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake huwa wanatafuta wenza humu watakuja tu.

Wazo lako zuri sana la kutaka ku m serve jamaa ila two things involved: jamaa ana mke/ hawara kwa siri na hataki wewe ujue au hajaamua kuoa kwa sasa kutoka na sababu zake binafsi unless amekwambia indirect kuwa yupo ktk hilo hitaji. Kila la kheri both of you, you and your imaginary medical doctor friend...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nimekupata mkuu.

Kifup tu nikuwa, wanaume marafik tunajuana sanaaa.

Naamin Mkuu mademu ni wengi ndio, Lakin naamin vichwa havifanani.
Vichwa vnavyotafakar sana maisha vipo humu JF.

Na wanaume tunapenda kujuana na future wife mapema sema wao ndio wazembe katika hilo.
Inatufanya kupotezea tu, na kuamua kusaka hela tukiwa peke etu.

Naamin mwanamke anaweza mfanya mwanaume aliekua akitafuta elfu kumi kwa siku aanze kutafuta elfu 30 kwa siku.
Kuna wanawake huwa wanatafuta wenza humu watakuja tu.

Wazo lako zuri sana la kutaka ku m serve jamaa ila two things involved: jamaa ana mke/ hawara kwa siri na hataki wewe ujue au hajaamua kuoa kwa sasa kutoka na sababu zake binafsi unless amekwambia indirect kuwa yupo ktk hilo hitaji. Kila la kheri both of you, you and your imaginary medical doctor friend...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu.

Kifup tu nikuwa, wanaume marafik tunajuana sanaaa.

Naamin Mkuu mademu ni wengi ndio, Lakin naamin vichwa havifanani.

Vichwa vnavyotafakar sana maisha vipo humu JF.
Na wanaume tunaoenda kujuana na future wife mapema sema wao ndio wazembe katika hilo.

Inatufanya potezea tu na kusaka hela tukiwa peke etu.

Naamin mwanamke anaweza mfanya mwanaume aliekua akitafuta elfu kumi kwa siku aanze kutafuta elfu 30 kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata pia ndugu.
Ni kweli ktk maisha kuna watu wanahitaji usaidizi kama huo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mahusiano mchongo chini ya kizibo.
 
Back
Top Bottom