Mahusiano mapya na vijimambo

Mahusiano mapya na vijimambo

psssssssssssssssssssss! Anti,dada,shangazi,mrembo,mamdogo,bibiye,binti
 
Sasa kama chakula kimekuja kibaya nimalize tu?
Leta ugali maini na mtindi au ugali samaki uone mziki wake first date tu.

Ukileta viepe sili

halafu leo mchana nimekula ugali maini plus mtindi pembeni mix matunda.. pembeni kulikua na female mmoja anameza mate kweli, ni weye nini?
 
Back
Top Bottom