Mahusiano: Kuna mwenza bora kuliko mwenzie?

Ntakuwa nakutibua pm..Usije ukamwaga radhi mbele ya wapendwa bure
Hahaha ntakuwa nakukemea ili usiniingize majaribuni. Nilijifunza kutake easy na kuignore baadhi ya vitu ili angalau nisiwe najiumiza muda wote. Thanks God inanisaidia, bila hivyo na huu unyaki ningetisha sana teh
 
hongera.Mungu alikuepusha na kikombe hicho cha micharuko
Hahahahaa..... Asante Mkuu, ila niliwahi pia kumwacha binti sababu hakuwa ananifurahisha tuwapo faraghani.
Sijui hilo litakuwa moja ya matatizo yanayosababisha mwenzi kuachwa??
 
ulifanya uamuzi wa busara.swala la uwajibikaji lazima ulipe uzito.kama hawezi kufikia viwango vya tbs vya ubora utaishia kulala na njaa humo ndani au kuwaka tamaa mwishoe unaishia kuchepuka.
 
Hahahahaaa...... mara zote huwa ndo chanzo cha Michepuko.
 
exactly unakuta mtu ameacha maujuzi yaliyokufanya ufike bei! anacheza chini ya kiwango.inabidi apewe free transfer.
 
Back
Top Bottom