kuna watu kwenye mahusiano wanajifanya wao ndio vinara! mwingine unafanyiwa msaada kwenye tuta! wanaboa.wao ndio wako perfect!Kuna watu hawaridhiki
Ukinenepa unaambiwa umenenepa sana, ukikonda unaambiwa unashida gani umekonda mpk unatisha
Ukivaa suruali unaambiwa imekuchora umbo, ukivaa skirt unaambiwa uvalie matshirt makubwa
Saa zingine ukivaa nguo unaambiwa kila siku unavaa hiyo hiyo mpk wamekukremu
Acha mkuu
watch
Mimi mwanake akinitangazia kuwa ataweza kuniacha keshatangaza vita.siwezi kaa nimjari.najua ni wa kupitaMahusiano lazima yawe na kuchukuliana mizigo as kila mtu ana mapungufu yake. Ila me naona kama mtu anaona nina upungufu fulani afu hawezi kuvumilia, basi aniache tu no matter how namvumilia ya kwake. Asijilazimishe kuwa kwenye mahusiano yasiyompa furaha.
1. Kuna weakness ambazo zinaweza zikabadilika/kuisha kabisa
2. Kuna weakness ambazo zitapungua kidogo (Eg mtu alikuwa mlevi ila now anakunywa responsibly
3. Kuna weakness ambazo haziwezi kubadilika kamwe. So it's either uubebe huo mzigo kwa kuwa mvumilivu au usepe tu mapema.
Tatizo linakuja hapa, Kila mtu anaona weakness ya mwenzake ndo mbaya zaidi kuliko ya kwake. Me hata mtu awe ananivumilia kwa mapungufu yangu 100, afu yeye akawa na weakness moja tu "maneno makali", khaaa ntamuacha tu aende kwa kweli nisije kufa kwa presha. Nipo sensitive na maneno mnooooo, maneno makali yananiumizaga Mmh. Ndoa ni kuridhiana na kuweza kubebeana mizigo yenu (sio mizigo yoyote inabebeka lakini).
Itabidi nianze kukuzoesha aisee..Usije ukapata shida huko mbeleniMahusiano lazima yawe na kuchukuliana mizigo as kila mtu ana mapungufu yake. Ila me naona kama mtu anaona nina upungufu fulani afu hawezi kuvumilia, basi aniache tu no matter how namvumilia ya kwake. Asijilazimishe kuwa kwenye mahusiano yasiyompa furaha.
1. Kuna weakness ambazo zinaweza zikabadilika/kuisha kabisa
2. Kuna weakness ambazo zitapungua kidogo (Eg mtu alikuwa mlevi ila now anakunywa responsibly
3. Kuna weakness ambazo haziwezi kubadilika kamwe. So it's either uubebe huo mzigo kwa kuwa mvumilivu au usepe tu mapema.
Tatizo linakuja hapa, Kila mtu anaona weakness ya mwenzake ndo mbaya zaidi kuliko ya kwake. Me hata mtu awe ananivumilia kwa mapungufu yangu 100, afu yeye akawa na weakness moja tu "maneno makali", khaaa ntamuacha tu aende kwa kweli nisije kufa kwa presha. Nipo sensitive na maneno mnooooo, maneno makali yananiumizaga Mmh. Ndoa ni kuridhiana na kuweza kubebeana mizigo yenu (sio mizigo yoyote inabebeka lakini).
Kuna mmoja aliwahi kuniambia Kaboom mi nadhani tupeane nafasi kidogo kwa muda..Nikamwambia poa..Bila hata ya kumuuliza sababu..Zen baadae yeye ndo anaanza kulalama..Anauliza kwann hata siulizi sababu ya yeye kusema hivyo..Nikamwambia haina maana coz sidhani kama itasaidia..Akaanza ohh we inaonekana ulikuwa haunipendi na ulikuwa unasubiri moment kama hii tu itokee..Nikabaki nacheka tu..Hilo penzi liliota mbawa aiseeMimi mwanake akinitangazia kuwa ataweza kuniacha keshatangaza vita.siwezi kaa nimjari.najua ni wa kupita
kaboom wanazingua hawa!.akiona umekita nanga anaanzakutingisha kiberiti kama kimejaa.Kuna mmoja aliwahi kuniambia Kaboom mi nadhani tupeane nafasi kidogo kwa muda..Nikamwambia poa..Bila hata ya kumuuliza sababu..Zen baadae yeye ndo anaanza kulalama..Anauliza kwann hata siulizi sababu ya yeye kusema hivyo..Nikamwambia haina maana coz sidhani kama itasaidia..Akaanza ohh we inaonekana ulikuwa haunipendi na ulikuwa unasubiri moment kama hii tu itokee..Nikabaki nacheka tu..Hilo penzi liliota mbawa aisee
kweli mkuu mwingine kujiaona ndo shababi.mtoa kauli ya mwisho juu ya penzi! aisee sipendi kutishiwa maisha! Mungu katupa maisha na uhuru halafu mazafanta unadai utaniacha au siwezi pata kifaa kingine kama yeye! mbona totoz kibao nje huko zinaombea ziwe zimesajiriwa.Au mwingine anakwambia uende wapi unadhani unaweza mpata mwanaume au mwanamke kama mimi.....teh teh teh yaani mtu akisema hivi ndo kanipa tiketi na hela ya kula njiani daadeki ntolee hiyo kimya kimya siwezi kaa hapo maana ni kama ananipimia kua bila yeye siwezi kuishi kitu ambacho si sahihi....katika mahusiano tunapaswa kupeana nafasi sawa kujaliana na kupenda na si mmoja kujiona bora zaidi ya mwenzake inakera kweli yani
Sawaunakuwa hujui inavyofeel huna uzoefu utaleta assumption zisizo za kweli hapa.ukiongea kitu cha kweli pointi inaingia mpaka moyoni.
Haipendezi kwa kwelikweli mkuu mwingine kujiaona ndo shababi.mtoa kauli ya mwisho juu ya penzi! aisee sipendi kutishiwa maisha! Mungu katupa maisha na uhuru halafu mazafanta unadai utaniacha au siwezi pata kifaa kingine kama yeye! mbona totoz kibao nje huko zinaombea ziwe zimesajiriwa.
Mahusiano lazima yawe na kuchukuliana mizigo as kila mtu ana mapungufu yake. Ila me naona kama mtu anaona nina upungufu fulani afu hawezi kuvumilia, basi aniache tu no matter how namvumilia ya kwake. Asijilazimishe kuwa kwenye mahusiano yasiyompa furaha.
1. Kuna weakness ambazo zinaweza zikabadilika/kuisha kabisa
2. Kuna weakness ambazo zitapungua kidogo (Eg mtu alikuwa mlevi ila now anakunywa responsibly
3. Kuna weakness ambazo haziwezi kubadilika kamwe. So it's either uubebe huo mzigo kwa kuwa mvumilivu au usepe tu mapema.
Tatizo linakuja hapa, Kila mtu anaona weakness ya mwenzake ndo mbaya zaidi kuliko ya kwake. Me hata mtu awe ananivumilia kwa mapungufu yangu 100, afu yeye akawa na weakness moja tu "maneno makali", khaaa ntamuacha tu aende kwa kweli nisije kufa kwa presha. Nipo sensitive na maneno mnooooo, maneno makali yananiumizaga Mmh. Ndoa ni kuridhiana na kuweza kubebeana mizigo yenu (sio mizigo yoyote inabebeka lakini).
kukaa kimya ni jambo zuri.japo mwingine anakuchukulia poa ukiwa kimyaa.Hahahah nashukuru hujawa mwanaume. Ilikuwa ukinijibu vibaya basi ntakujibu jibu moja zuri sana na utalikumbuka mwaka mzima. Tatizo sasa nikishakaa baadaye, roho inaanza kuniuma "kwa nini fulani nilimjibu vile, nimemuumiza", yani inaniumiza mimi mwenyewe tena zaidi. So nikajikuta najifunza tu kukaa kimya, ukinikwaza/ kunijibu vibaya nakuangalia tu usoni bila kukujibu naondoka. Ntarudi baadaye hasira zikishaisha afu najikuta uzito wa ile issue umeshapungua so napotezea tu kama vipi. Tatizo ipo siku utanipa maneno yako makali afu ukute na mimi nimeamka vizuri, Aaah ntakufurahisha afu lazima pozi na mimi litapungua tu ndo ntakuwa nishaharibu teh
sema yote lkn usitishie utamuachaHahahaa yani mi mtu akiniboa huwa nashindwa kuremba aisee..... Kama sitampa kubwa basi ntapotezea tu namsamehe ila haiwezi kutokea mtu amenitibua af nimwambie kwa kumbembeleza
Mmh me najitahidigi kupotezea, ila siku yakinishinda hata hutoamini kama ni mimi. Afu kuongea kwa mdomo siwezagi so nakuandikia hilo gazeti utasoma mwaka mpya hadi mwaka mpya mwingine. Afu kuna wale wanafanyaga makusudically kukukwaza, hawa nawavutiaga kasi then nawapa moja tu afu akinuna akicheka ni juu yake na hapa roho hainiumi kabisa,
gazeti? hii hatari unaacha na ushahidi!Mmh me najitahidigi kupotezea, ila siku yakinishinda hata hutoamini kama ni mimi. Afu kuongea kwa mdomo siwezagi so nakuandikia hilo gazeti utasoma mwaka mpya hadi mwaka mpya mwingine. Afu kuna wale wanafanyaga makusudically kukukwaza, hawa nawavutiaga kasi then nawapa moja tu afu akinuna akicheka ni juu yake na hapa roho hainiumi kabisa,
Sure..Halafu kuna wengine hawapendeki aisee..Hata umpende vipi still your love is never good enoughkaboom wanazingua hawa!.akiona umekita nanga anaanzakutingisha kiberiti kama kimejaa.