Mkuu kuhusisha ushairi na uislam sidhan kama uko sahihi labda ushairi na kiarabu kuna mahusiano tena makubwa tu.Nimejaribu kukutana na washairi wengi ila wengi wao ni waislamu ingawa na wakristo wapo lakini pana mahusiano gani kati ya uislamu na ushairi ?
Asante mkuuWaislam hutumia mashairi ktk kumsifia mtume Muhammad (s.a.w).
mf:Kuna kitabu cha mashairi kinaitwa MAURIDI (Baraznje) hutumika ktk sherehe za kiislam kumsifia,na kuelezea historian ya Maisha yake toka kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake Muhammad (s.a.w) kwa kusoma hayo mashairi.
Kitabu hiko kilitungwa na Saydina Jafarry baada ya kufa mtume Muhammad (s.a.w).Wanazuoni wakaona kinafaa kutumika ktk sherehe za kidini kama kumbukumbu ktk utajo wake na kumsifu kwake
Lakini pia mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa akiwaimbia mashairi Wake zake kama kuwasifia na kuwaonyesha jinsi gani anavyo wapenda.kwahio Mashairi ni moja ya tamaduni za kiislamu
na hio ndio sababu ya waislamu kupenda kuimba na kutunga mashairi.
Kitu kipya!!!!! angalia usije na ww ukasambaza kitu kipya ambacho ni cha uongo, dini ina mambo yake na ushairi una mambo yake.Shukurani sana,nimepata kitu kipya
Hata huko kwenu Kondoa kuna washairi wengi sana na Kondoa almost 90% ni waislam.Nimejaribu kukutana na washairi wengi ila wengi wao ni waislamu ingawa na wakristo wapo lakini pana mahusiano gani kati ya uislamu na ushairi ?