Mahusiano ah.............

nyamayao na MJ1 hebu tulieni kwanza, then muliangalie jambo hili katika upana wake. mnaweza mkapata stress bure baaanaa!
 
Finest wacha tu, nilikuwa nikiingia humu nakutana na vurumai za uchaguzi zinaniongezea tu stress wakati mie nina zangu za kunitosha.

Kuna jamaa ana hamu ya kuonana na wewe nimemwambia aombe Mungu Mr.Kaizer asione
 
ahh we bwana wewe acha tu ...
kuna kimbwanga kilitokea uku machokorani kwetu its just similar to ths
..bmkubwa alisafiri bwana kakamkubwa akavuta small haus kwa nyumba so kulala ni pale pale anapolala na mkewe na shuguli zote ni vile vile na kama ni kanga au vtenge vilikuwa vile vile vya mkewe basi muda ukafika bmkubwa akarejea hm ..sasa smal haus ikabd arud kwao bas kwa machungu sasa akaanza kumponda mama wa watu eti ...
..mwanamke gan wewe unalalalia kigodoro chembambaaaaaaaaa yan nimelala kwako wk tu sna hamu tena ..bibi weweee fanya mpango mnunue godoro jipyaaaaa
.....na ile kanga yako ilioandkwa ....ndo nilikuwa najifutia afta shuguli..
....na kile kitenge chako....na zile chup zako chn ya godoro bib ukaztoe znaleta uvundo chumban...na lile kabat lako ukalipange vzr..ahh jaman ikabd bmkubwa amwulize vema bwna uyu bib izi details za chumban kwetu kazipataje??????? sjui alidanganywa nini manake mpk leo wapo pamoja!!!!!!
 
hapa ndo huwa nawashangaa watu hivi ukioa au kuolewa basi ndo mwisho wa kupenda tunaamua na kuamini kwamba huyu niliyepata takuwa msaidizi na rafiki na unaamua kufunga milango sasa hapa ndo huwa tunajichanganya ivi huwa tunajiulizaga tulikuwa sahihi kwenye maamuzi yetu na kama tulikosea ni wapi turekebishe kutumia nguvu nyingi/ubabe ndo kutarudisha mapenzi atapigana na wangapi mamamtu akikuchoka haijalishi ni mmeo au mkeo atatoa lolote mdomoni sasa hapo kazi kwako kufanyia kazi kwa busara na kutafuta positive ways za kutibu majeraha yako
hapo sasa ..kuna thread ilishawahi kutoka hapa ikiuliza kuolewa/kuoa ndo mwisho wa kupenda?. wajua sometimes ndoa inawapa kiburi baadhi ya wanandoa..anajua akikuchakachua hutokuwa na la kufanya....ingawaje mara nyingi tunalalamikiwa sie kina mama kuwa tunajisahau na kuona tumefika lakini hata kina baba jamani nao wanajisahau.akishakuoa anaona ndo kamaliza anawezakutenda kama mbwa wa jirani akiamini huwezipenda tena........ Mama Big anasema mke akishaona mumewe anamtendea maovu, naye anatafuta liwazo lake la pembeni .......ndo maana ya msemo wa akidumishia hapa, wapo wanaodumishia kule (I wish kungekuwa na icon za kuonyesha hiyo kidumu)
 
Hapo sasa ndo mnapochetuka ati...unapokandya kwa mkeo nyumba ndogo inavidaka aohhh kumbe mkeo anakupangia ratiba .basi mie utapata kuanzia tarehe 1 hadi 1 ya mwezi... kama mkeo hafui kufuli zako anakuachia ufue mwenyewe basi nyumba ndogo anazivaa kabisa mwashare...mara oh mke wangu mie bwana tukimaliza anakimbilia kuoga yeye......basi small house atakuwekea thermos uchagoni usipate shida ya kwenda hadi bafuni.... sasa hayo yote ndo unaona ah mwanamke si huyu kumbe ndo umempa majibu mwenyewe.

Jamani jamani jamani....we mjukuu haya maneno umeyakopi wapi?

Hivi kina mama, kama mnajua haya mambo ndiyo yanatupeleka nyumba ndogo, kwanini hamyafanyi na nyie?
 
Hapo sasa ndo mnapochetuka ati...unapokandya kwa mkeo nyumba ndogo inavidaka aohhh kumbe mkeo anakupangia ratiba .basi mie utapata kuanzia tarehe 1 hadi 1 ya mwezi... kama mkeo hafui kufuli zako anakuachia ufue mwenyewe basi nyumba ndogo anazivaa kabisa mwashare...mara oh mke wangu mie bwana tukimaliza anakimbilia kuoga yeye......basi small house atakuwekea thermos uchagoni usipate shida ya kwenda hadi bafuni.... sasa hayo yote ndo unaona ah mwanamke si huyu kumbe ndo umempa majibu mwenyewe.

MJ1,

Hayo ndiyo ma-ufundi yenyewe!
- Kufuli zinakuwa taken care of with all respects : zinafuliwa as soon as you are done!
- Kuna ki-ndoo kidogo uvunguni mwa kitanda : huna haja ya kwenda hata msalani (short call)!
- Huna haja ya kwenda saluni : kucha, mav.*.zi, scrub yote ni indoor!
- Menu inaliwa chumbani :tena mkiwa watup*
- e..t..c
 
MJI naamini we unaelewa sana haya mambo sentesi ii inanitia mashaka for me nikisema I LOVE YOU i mean it naweza nkawa naangukia kundi uliloweka hapa maumivu yake mtu akikutenda acha lakini huwa siachagi kumpenda natamani roho yangu ibadilishwe siku moja
nyamayao wewe hujashangaa...ila sijui hawa ndo wale wanaitwa wake toka kwa bwana....mwenyewe anampenda mumewe.
 
ahh we bwana wewe acha tu ...
kuna kimbwanga kilitokea uku machokorani kwetu its just similar to ths
..bmkubwa alisafiri bwana kakamkubwa akavuta small haus kwa nyumba so kulala ni pale pale anapolala na mkewe na shuguli zote ni vile vile na kama ni kanga au vtenge vilikuwa vile vile vya mkewe basi muda ukafika bmkubwa akarejea hm ..sasa smal haus ikabd arud kwao bas kwa machungu sasa akaanza kumponda mama wa watu eti ...
..mwanamke gan wewe unalalalia kigodoro chembambaaaaaaaaa yan nimelala kwako wk tu sna hamu tena ..bibi weweee fanya mpango mnunue godoro jipyaaaaa
.....na ile kanga yako ilioandkwa ....ndo nilikuwa najifutia afta shuguli..
....na kile kitenge chako....na zile chup zako chn ya godoro bib ukaztoe znaleta uvundo chumban...na lile kabat lako ukalipange vzr..ahh jaman ikabd bmkubwa amwulize vema bwna uyu bib izi details za chumban kwetu kazipataje??????? sjui alidanganywa nini manake mpk leo wapo pamoja!!!!!!
Duh Rose wangu hii ilikuwa kali loh..............ila huyo Bi mdogo naye ah......anaaibisha ati! we utaambiwaje upelekwe kwenye kitanda anachotumia mke mwenzio? aku babu kama umewezaongeza majukumu (mwanamke) uwe unajimudu......... mi ngemgomea akishindwa kunpeleka guest ah aishie zake akakumbatie mito yake huko na kutafuta sabuni ah.....nini kutiana nuksi??
 
nyamayao na MJ1 hebu tulieni kwanza, then muliangalie jambo hili katika upana wake. mnaweza mkapata stress bure baaanaa!

na kweli, maana hapa mie nimeshajiweka kama ndio huyo mama vile na ningechukua hatua gani za muhimu...mhh MJ1 kaniharibia cku haki ya nani tena.
 
Duh Rose wangu hii ilikuwa kali loh..............ila huyo Bi mdogo naye ah......anaaibisha ati! we utaambiwaje upelekwe kwenye kitanda anachotumia mke mwenzio? aku babu kama umewezaongeza majukumu (mwanamke) uwe unajimudu......... mi ngemgomea akishindwa kunpeleka guest ah aishie zake akakumbatie mito yake huko na kutafuta sabuni ah.....nini kutiana nuksi??

hivi kama huyu baba kwann acngelala huko nje kabisa kuliko kumleta huyo mwanamke hapo ndani? ni urahic wa maiha au kitu gani, kwa cc wanawake kuna vitu hatufikirii kabisa, unabeba vinguo vyako viwili vitatu unaenda kujicir kweny kitanda cha mwenzio akija unatimukia ujuapo, kama huyo mwanaume wa shoka kwann acwaweke wote hapo ndani bac kama wake wenza?....binadam wengine cjui wana akili za wapi kwa kweli.
 
MJI naamini we unaelewa sana haya mambo sentesi ii inanitia mashaka for me nikisema I LOVE YOU i mean it naweza nkawa naangukia kundi uliloweka hapa maumivu yake mtu akikutenda acha lakini huwa siachagi kumpenda natamani roho yangu ibadilishwe siku moja

Mpenzi nakuelewa sana .....lakini nakukumbusha tu hata hiyo I LOVE YOU unayoimaanisha ina mpaka wake... Just ask me mydia.. I loved and stayed that way kwa muda mrefu nikiambulia vya kuambulia...ilifika wakati nikajikuta tu naanza kuitafuta definition halisi ya neno LOVE na ndipo nilipotengeuka.

Raha ya penzi lijibiwe ....ama sivyo litabackfire tu no matter how long it take
 
hapo sasa ..kuna thread ilishawahi kutoka hapa ikiuliza kuolewa/kuoa ndo mwisho wa kupenda?. wajua sometimes ndoa inawapa kiburi baadhi ya wanandoa..anajua akikuchakachua hutokuwa na la kufanya....ingawaje mara nyingi tunalalamikiwa sie kina mama kuwa tunajisahau na kuona tumefika lakini hata kina baba jamani nao wanajisahau.akishakuoa anaona ndo kamaliza anawezakutenda kama mbwa wa jirani akiamini huwezipenda tena........ Mama Big anasema mke akishaona mumewe anamtendea maovu, naye anatafuta liwazo lake la pembeni .......ndo maana ya msemo wa akidumishia hapa, wapo wanaodumishia kule (I wish kungekuwa na icon za kuonyesha hiyo kidumu)
aaaaaaaaah ndoa ni ngumu sana kuna wakati unaishi kama chizi fulani mambo yaende ukiweka kila kitu utatembea unaongea mwenyewe ni kiasi cha kujaribu kujua mwenzako anataka nini nini hataki kupunguza matatizo maana huwa tunaongea na kulala na maadui zetu humo ndani unashughulika weee kumbe mwenzio anamuwaza jumaa
 
MJ1,

Hayo ndiyo ma-ufundi yenyewe!
- Kufuli zinakuwa taken care of with all respects : zinafuliwa as soon as you are done!
- Kuna ki-ndoo kidogo uvunguni mwa kitanda : huna haja ya kwenda hata msalani (short call)!
- Huna haja ya kwenda saluni : kucha, mav.*.zi, scrub yote ni indoor!
- Menu inaliwa chumbani :tena mkiwa watup*
- e..t..c

mnajua muwe mnatofautisha kitu kimoja, huyo mwanamke anaweza kufanya hivy coz ana muda wa ziada wa kutafuta mbinu za kukurubuni wewe, mie nitoke job cjapika, cjui manka ana homework, kabula na flu, kidume changu kinataka nikalishe mie tu, huku Kaizer atake nimwekee cjui maji na kisoc cha kubebea hizo ndude zake, cjui nimlishe na yeye, mara nini na nini, bado mie mwenyewe, huo muda naupatia wapi mtu huyu huyu?
 
nyamayao na MJ1 hebu tulieni kwanza, then muliangalie jambo hili katika upana wake. mnaweza mkapata stress bure baaanaa!
Bigirita umenifanya nimecheka sana leo...wala kaka sijachukulia kifupi na ndo maana nikasema pengine mama nae alikuwa vuvuzela baba akachoka akatoka ndo kukutana na wa kuziba masikio ili kulinda ngoma zake.

Ni kweli hakuna kisicho na mwanzo .nakuruhusu toka but unanikashfu tena jamani?......Is that fair?
 
hata hawa wamama wanapenda kufanyiwa haya msitafute visingizio
MJ1,

Hayo ndiyo ma-ufundi yenyewe!
- Kufuli zinakuwa taken care of with all respects : zinafuliwa as soon as you are done!
- Kuna ki-ndoo kidogo uvunguni mwa kitanda : huna haja ya kwenda hata msalani (short call)!
- Huna haja ya kwenda saluni : kucha, mav.*.zi, scrub yote ni indoor!
- Menu inaliwa chumbani :tena mkiwa watup*
- e..t..c
 
aaaaaaaaah ndoa ni ngumu sana kuna wakati unaishi kama chizi fulani mambo yaende ukiweka kila kitu utatembea unaongea mwenyewe ni kiasi cha kujaribu kujua mwenzako anataka nini nini hataki kupunguza matatizo maana huwa tunaongea na kulala na maadui zetu humo ndani unashughulika weee kumbe mwenzio anamuwaza jumaa

c bora bac ukishajua ukaanza kuyafanyia kazi na yeye akaridhika, umejua lakini anaona kama hujajua vile.
 
mnajua muwe mnatofautisha kitu kimoja, huyo mwanamke anaweza kufanya hivy coz ana muda wa ziada wa kutafuta mbinu za kukurubuni wewe, mie nitoke job cjapika, cjui manka ana homework, kabula na flu, kidume changu kinataka nikalishe mie tu, huku Kaizer atake nimwekee cjui maji na kisoc cha kubebea hizo ndude zake, cjui nimlishe na yeye, mara nini na nini, bado mie mwenyewe, huo muda naupatia wapi mtu huyu huyu?

Kwahiyo bibie unahalalisha "small house" RASMI!

hapo penye red/underlined pamenifanya nipaliwe na kipande cha burger!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom