Mahujaji 35 wafariki Makkah

Jiheshimu utaheshimiwa..usiropokwe kwa usilolijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wenu ni bora sana. Ye ana njia za kistaarabu za kuwachukua.
Kama vile kuwatundika misalabani,kuwauwa kwa ukimwi kwa kupenda ngono za jinsia moja.
Kuwauwa watu kwa mabomu huku mkiwadondoshea mikate. Alivyowachukua zaidi yw 70000 kule Hiroshima kwa ustaarabu wa bomu. Anavyo wachukua watu kule Sirya na kuacha magofu makazi yao. Alivyo iharibu Libya,Iraq ili tuu wasifanane nao.

Kwa hakika huyo mungu w enu ni mstaarabu sana. Mafundisho yake makuu ili uwe mtakatifuni kutukana imani za wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwan Yesu fungua macho ya watu wako hawa, wafanye waone Kweli yako, na iwaweke huru kutoka vifungo vya hila ya shetani.Shetani anavuna roho kwa njia ya hila.
Kama alivyovuna Uganda kwa kibwetere. Na kama walivyokuwa na akili za kitakatifu wale waliojiita wasabato masalia waliotaka kwenda ulaya bila ya hati za kusafiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnalazimisha Nyeupe iwe njano
 
Wengine wanasema shughuli ya kuangukiana hadi kufa huanzia pale kwenye stage ya kujifunika shuka moja tu mwilini ambapo huwa hamtakiwi kabisa kuvaa hata chupi ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…