ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Yeah! Au wanatoa hili wanaweka lile,,haya mambo ni magumu sana na ukipenda kitonga ndo yanazidi.Kuna wengine huwa wanawatoa wenzao mapepo kwa kuwapa sumu ya panya
AstagafurullahS.A.W alikuwa anakibandua kitoto cha miaka Tisa
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nimeslim kwa ajili ya mabomba ya kupitisha pombe tukienda kwa Allah
Nitakuwa nakaa kwenye koki mimi
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Utazuia watu wasife ?Tena umeambiwa umri wao na uchovu uliojengeka zaidi na umri mrefuhivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe?
Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo?
ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa.
Itakuwa bomba sana!Nasikia kuanzia mwakani Kutakuwa na kirisimasi tano( 5)kila mwaka
wacha kuwa mtumwa na dini ya wafanyabiashar ya utumwa
laana ni hicho unachoaminiUNALAANA WEWE JICHUNGUZE VIZURI
Acha Uroroso. Hivi hapo wakiamua kukujibu je? Si mtakimbilia neno kashfa na uchochezi. Si kuwa hawajui maneno ya ufedhuri kama hayo, ila ni kuheshimu tu watu na imani zao pia miiko ya JamiiForumsWakamsalimie mzee wa totoz S.A.W
Kufia Makkah ni kupata thawab
Hilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.
Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah
Wabillah Tawfiq,
Hicho ni kifo cha heshima, wamekufa kwa baraka za Mungu
Hapa ndipo mimi huwa na mashaka na hii dini, either waumini wake wengi hawako timamu au huko kwenye hijja kuna kafara la damu za watu kila mwaka.Kufia mji mtakatifu wakati wa kuhiji ni thwawabu. Wengine wanaenda kwa ajili ya kujiulia huko
Avatar yako inashabihiana kuwa una mambo ya ovyoS.A.W alikuwa anakibandua kitoto cha miaka Tisa
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hayo mashaka ni style yako tu iliyojia kwa leo.Hapa ndipo mimi huwa na mashaka na hii dini, either waumini wake wengi hawako timamu au huko kwenye hijja kuna kafara la damu za watu kila mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema "watu wangu.."??
Kwani S.A.W hakuoa mke wa miaka Tisa?Avatar yako inashabihiana kuwa una mambo ya ovyo
Kwahivyo hakuna jipya ambalo utaleta ima kukufuru, au kutukaka, Kejeli hapa duniani ambayo hawajaleta waliokuwa kabla yako
Kumbe alioa shida iko wapi? Au hujui kuwa mwanamke anakua kibaiolojia na wala si vinginevyo hata huku kwetu tabora wako wengi miaka tisa tayari smevunja ungo na mwili huo kama nyumbaKwani S.A.W hakuoa mke wa miaka Tisa?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] S.A.W angekuwa kwa magu saiv angekuwa yipo nyuma ya nondoKumbe alioa shida iko wapi? Au hujui kuwa mwanamke anakua kibaiolojia na wala si vinginevyo hata huku kwetu tabora wako wengi miaka tisa tayari smevunja ungo na mwili huo kama nyumba
Huyo atakua ni shetani mnyonya damuWe achana na Allah wetu.
Pambana na hali yako.
Suluhisho hakuna...taarifa imesema kuwa hao 35 wote ni wazee na kuhiji kunahitaji nguvu ya kutosha na ndio maana wazee hupoteza uhai wao kwa kupata infection sababu kinga yao ni ndogosikatai mkuu, ndio maana nasema kama kwa ground za kiimani, hata wakifa wote ni sawa.
Lkn kijamii, kila mwaka kufa watu wengi eneo lile lile, kwa sababu ileile na mazingira yaleyale lzm watu wazame waje na suluhisho.
Hata wasimamizi wenyewe wa huo mkutano ukirefer vifo vya mwaka 1990 na 2015 hawasemi ni thawabu, badala yake wakaja na njia za kuzuia vifo kama.
Crowd Management
Surveillance cameras ziliongezwa
electronic controls za njia na mageti
Watu kuvaa electronic robbon maalum ili kutambuliwa location zao.
Bado watu kufa huko sio sifa, na bado wanaweza kufanya vizuri zaidi ya hapo ili watu wakienda kwenye Mambo ya kiimani au kutimiza nguzo warudi salama majumbani kwao.