mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
Tukisema watu Millioni moja wakienda cocobeach kutatokea vifo vya watu 100.Unataka kusema katika watu milioni2 wakifariki 35ni kosa,jaribu kufikiri DSM mfano ina watu milioni3,ukipewa takwimu wanafariki watu hamsini kwa Siku utakataa?au nako watafute njia ya kuzuia vifo? Think twice brother
sent from kanyau
wacha kuwa mtumwa na dini ya wafanyabiashar ya utumwaMe mwenyewe natamani kabla sijafa niwe nishaenda huko, hata ikiwezekana nikiwa mgonjwa kama kuna wa kunipeleka anipeleke nikifia huko poa...
Jidanganye eeeeeeHilo ni jambo la Kheir kwasababu wamefia katika mji mtakatifu wakihiji.
Hakika pepo wataiona hao Waumi'ni na tunuku zile watazipata, Inshaallah
Wabillah Tawfiq,
Nasikia kuanzia mwakani Kutakuwa na kirisimasi tano( 5)kila mwakaWaongeze muda wa kuhiji, iwe mara nne kwa mwaka.
Uongo na UCHOKOZI wa kitoto kabisa hakuna anaekwenda kwa ajili ya kujiua si sawa kudhoofisha ibada na imani za dini nyingine kama huelewiKufia mji mtakatifu wakati wa kuhiji ni thwawabu. Wengine wanaenda kwa ajili ya kujiulia huko
km alivyofanya mudi mpk basha wake akamng'oa meno na kudingizia vita?Ukitaka awe mtumwa wa dini ya kuoana wanaume kwa wanaume?
unajua km mudi unayedai mtume wen alikufa govi?Kama wanavyomwagwa MAVItu maakasofu na maaparade na mabasha wajanha
unajua kuwa mudi alikufa govi na mapumba yake?Kuna wengine nasikia wamempata mimba na watazalia mdomoni
Usipoteze muda wako kujibizana na maamuma wa aina hii.hakika unaloliongea hulijui, na hujawa na familia, ila naamini usicheke mkunga angali unazaa, familia yako mmoja au wawili watakuja kuwa waislam...
Usiitukane dini ya mwenzako sababu hujui wewe hatima yako,
We hutaki waende peponi?au hujui kama ukifa ukiwa kwenye ibada ya hijja "unanyoosha goti" mpaka kwa Allah kula nae "bata"hivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe?
Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo?
ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa.
Wrong comment in the wrong time!!!Hii habari niliitarajia...mungu anawajobu kwa matendo ya yao ya kupenda kuuaua binadamu wenzao
17 PHD these are results
Uongo na UCHOKOZI wa kitoto kabisa hakuna anaekwenda kwa ajili ya kujiua si sawa kudhoofisha ibada na imani za dini nyingine kama huelewiKufia mji mtakatifu wakati wa kuhiji ni thwawabu. Wengine wanaenda kwa ajili ya kujiulia huko
Kuna wengine huwa wanawatoa wenzao mapepo kwa kuwapa sumu ya panyaKama walishampopoa mawe shaitwan basi poa tu,wamemaliza kazi..wapumzike watakapopumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app