Mahubiri yamekuwa siasa je,mnajua athari zake??

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,130
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
 
Kwa nini unasapoti mkuu.
Hebu toa sababu usisapoti vitu kwa hisia 😎.
I told you for the sake of state affair dini ni silaha kubwa mno kwa waumini,mauwaji,kuvunjiana heshima n.k havipo mbali ukichanganya na dini.

Dini ni mbingu/ulimwengu na siasa ni dunia...Tusichanganye hivi vitu viwili tutaumia.
 
Hii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
 
Lakini kukemea maovu bila kujalisha anayeyafanaya ni Moja kati ya kazi ya viongozi wa dini.

Kosa la gwajima liko wapi.
 
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Wao ndio waliochanganya dini na siasa.
Kampeni kubwa kubwa zinapigwa makanisani, viongozi wa dini wanaalikwa kwenye makongamano ya siasa lengo ni ujumbe uwafikie waumini kupitia kwa viongozi wao.

Vile vile wawatumavyo kufikisha ujumbe wapewayo kwenye makongamano kwa waumini ndivyo hivyo nao wapokee vilio vya waumini wanavyovifikisha kwa viongozi wao wa dini
 
Hii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
watu wanakengeuka ujue,hii modwrnazation inawasumbua,kikichafuka lissu hatokuwepo hapa.
 
Tatizo ni wenye
Hii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
Kauli. Wapo tayar kufanya lolote ili watimize matakwa yao.
RIP Mzee kibao
 
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Majeshi yote na idara zake zote yamejikita kwenye siasa
Bunge, mahakama, michezo na vyombo vya habari vyote vinaitetea CCM unajua athari zake?
 
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Je mbona nazo siasa zimekuwa utekaji na uuwaji nazo athari ni zipi?
 
Kwenye vita hauhitaji ushauri, chochote ulichonacho unapaswa kukitumia. Inshort mchagua jembe si mkulima, sawa ponjoro.
 
Nakubaliana na wazo lako kwa 100%
SABABU NI HIZI
1, Historia inaonyesha kuwa karne ya 5 dini na serikali/siasa zilipochanganywa mamilioni ya watu waliuawa
2. Maandiko yanasema ya Kaisari mpeni Kaisari na ya MUNGU mpeni MUNGU
3. Viongozi wa dini ndio neutral ground ambapo watu wote watapata kimbilio
Hii haina maana ya kuwa serikali iko sahihi laa, na pia viongozi wa dini wana nafasi ya kuita kiongozi wa serikali na kumpa ushauri na mtazamo mwema .
Sasa hivi kiongozi wa dini ni mwana siasa na anasema uongo. mfano mwanasiasa alisema kuwa akiwa mbunge atawapeleka watu nje ya nchi kujifunza na hajapeleka mtu wala aliyosema hajafanya. Hii inamuondoa kama kiongozi wa kiroho wa watu
 
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.

Wakisifia serikali ni sahihi

Wakikosoa serikali then dini na siasa hazichangamani

So mnataka wawe wanawasifia tu
 
Yote haya ni kwa sababu kisu kimepenya hadi kimegusa mfupa...
 
Hii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
amani ipi mkuu hii ya kupotea mtu mmoja mmoja ama kwa kuwa hakuna nduguyo aliye potea unaona uko na amani sana
 
Ninacho ona ni vita dhidi ya ukristo.
Ni viongozi wa ukristo ndio wako mstari wa mbele kupinga utekaji na mauaji.
ni hao hao wahanga wa matendo hayo.
wa dini nyingine wako kimya.
 
Dini imefanyaje sasa watu wanaotekwa ni waumini kwaiyo inyamaze si sawa,we uoni pope anakemea mauaji Gaza na sehem zingine
 
Nakubaliana na wazo lako kwa 100%
SABABU NI HIZI
1, Historia inaonyesha kuwa karne ya 5 dini na serikali/siasa zilipochanganywa mamilioni ya watu waliuawa
2. Maandiko yanasema ya Kaisari mpeni Kaisari na ya MUNGU mpeni MUNGU
3. Viongozi wa dini ndio neutral ground ambapo watu wote watapata kimbilio
Hii haina maana ya kuwa serikali iko sahihi laa, na pia viongozi wa dini wana nafasi ya kuita kiongozi wa serikali na kumpa ushauri na mtazamo mwema .
Sasa hivi kiongozi wa dini ni mwana siasa na anasema uongo. mfano mwanasiasa alisema kuwa akiwa mbunge atawapeleka watu nje ya nchi kujifunza na hajapeleka mtu wala aliyosema hajafanya. Hii inamuondoa kama kiongozi wa kiroho wa watu
Mungu wa Yakobo akubariki sana. Bado tuna watu kama nyie wanaoweza kutazama vitu objectively bila mihemko.
 
Ungeruhusu ubongo wako kwanza kujua athari za watu kutekwa na kuuwawa, kisha ndo ungeongea hicho unachoongea

Back
Top Bottom