kwanza inavyoanza tu nawasiwasi nayo yanayofundishwa siju maana ata ukicheki kimini chake du meza imemsaidia kumsitili pia naona kila mara anaonyesha vidole viwili kama chama kimoja kinachotumia alam hizo ha!ha!kiko juu.....
Wakuu,siamini kama ni kanisa;labda ni aina mpya madanguro ya kisasa !!! Na kama ni mahubiri,basi yatakuwa kusanyiko la mbwa kwa mujibu Biblia; watu ambao hawawezi kuingia mbinguni.Soma Biblia katika UFUNUO 22:15; ISAYA 56:10-12,