mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,864
- 3,155
Naona Wahariri wameridhika kabisa na presentation na majibu toka kwa Mkurugenzi!
Mkuu hawa hawana maswali ya maana wameandaliwa makusudi kabisa kuonyesha hawa vipanga their doing well wakati their doing wrong utmostNaona Wahariri wameridhika kabisa na presentation na majibu toka kwa Mkurugenzi!
Hii nchi tupindue meza kwa any costWaandishi wenyewe ni kina Manyerere, Balile, Paskali Mayala!?
P. Mayala na Balile sijawaona bado.Waandishi wenyewe ni kina Manyerere, Balile, Paskali Mayala!?
Na ilikuwepo nafasi ya Watazamaji kuuliza maswali kupitia social media! Hata hao maswali yao yalikuwa ya kawaida tu! Na mengine kama ya utani hiviMkuu hawa hawana maswali ya maana wameandaliwa makusudi kabisa kuonyesha hawa vipanga their doing well wakati their doing wrong utmost
Kuna issue ya kufungulia mabwawa ameleisi mwandishi mmoja, anasema hakuwepo na ni ngumu kufungulia mabwawa kwa sababu za kiusalama,ya kwamba haiwezekani, issue hapo ni kwamba yalifanyika ya kufungulia maji taratibu kwa lengo la kulowa levo za mabwawa hasa mtela,hawa wanataka kumprove wrong hayati Magufuli lakini wanaishia maneno mengi perform poorNimemfuatilia hata CEO hajapata challenge kabisa
Ina wezekana ni utaalamu wa kupanga matokeo ya mechi
Ingawa CEO maswali anayoulizwa angeweza kujenga sana na KUONESHA uwezo wake
Nadhani he is neither a politician nor dramatic
Sikiliza Mzee mwezang uckate tamaaaBora nilale
Mfano maswali Magumu ya Luhaga Mpina hapa nilitegemea wahariri makini kumtaka mkurugenzi ajuze watanzania kulikoniNa ilikuwepo nafasi ya Watazamaji kuuliza maswali kupitia social media! Hata hao maswali yao yalikuwa ya kawaida tu! Na mengine kama ya utani hivi
Yaani ndio kaaminiwa na utawala,wakiweka wabobezi wa fani pembeniHuyu muuza vifurushi vya Bongo movie DSTv na masuala ya Umeme wapi na wapi!
Nchi ngumu sana hii
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa,wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP,wakati si kweli,
Kigoma wamezima majenerata,umeme mdogo unakatika na kusuasua,
Mkurugenzi hilo ni jipya kwakwe, gesi imeshindwa kusaidia upungufu wa umeme,wamebinafsisha customer care services, walishindwa kupata watanzania competent kureplace wazembe waliokuwepo?,wakaamua kubinafshisha kitengo?,wizi huo,
Hawa acha wamuingize chaka rais Samia,au pengine ni mnufaika,
Magufuli aliwezaje?,hawa mbona visingizio vingi sana na kujifanya eti wao hawataongopa,ni wakweli, nonsense!,porojo na lugha laini,wananchi wanateseka,
Hii nchi mpaka mapinduzi ya uongozi yatokee tena ni lazima kabisa , vinginevyo tunasindikiza kundi la wahuni kwa woga wetu.
Shujaa Magufuli ni mwanasayansi tofauti na zile degree za Sindimba!Kuna issue ya kufungulia mabwawa ameleisi mwandishi mmoja, anasema hakuwepo na ni ngumu kufungulia mabwawa kwa sababu za kiusalama,ya kwamba haiwezekani, issue hapo ni kwamba yalifanyika ya kufungulia maji taratibu kwa lengo la kulowa levo za mabwawa hasa mtela,hawa wanataka kumprove wrong hayati Magufuli lakini wanaishia maneno mengi perform poor