Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)

Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)

Huyu kala kiapo kama cha madaktari na akisema vibaya jua kuna sababu!..hawezi kuvunja mwiko hukumu yake ni kifo.

Lisemwalo lipo. Lakini, mnhh, hata hicho kiapo ndio aponde namna hiyo? umeisoma hiyo interview yake?
 
Mzalendo wa kweli wakati alikuwa anachukua murungura kwa Rostam ili akaseme Chacha Wangwe kauwawa na CDM??
 
Mzalendo wa kweli wakati alikuwa anachukua murungura kwa Rostam ili akaseme Chacha Wangwe kauwawa na CDM??

Mkopo, mrungura unatiwa saini? sijui Dokta ana saini mikopo yake?
 
Mkopo, mrungura unatiwa saini? sijui Dokta ana saini mikopo yake?
Hivi bado kuna watu wanampa Mtikila uzito wowote? The guy is fake and he was taught a lesson in Tarime.
 
Hivi bado kuna watu wanampa Mtikila uzito wowote? The guy is fake and he was taught a lesson in Tarime.

Si hao unaona wamem-interview. Au hujaisoma interview hiyo?

Haya tujuze yaliyomkuta Tarime. Sishangai kama kafanyiwa visa Tarime si unaelewa kwanini?
 
Si hao unaona wamem-interview. Au hujaisoma interview hiyo?

Haya tujuze yaliyomkuta Tarime. Sishangai kama kafanyiwa visa Tarime si unaelewa kwanini?
Kha! Hujasikia yaliyompata Tarime? Alitumwa na Rostum (CCM) kwenda kusema kuwa Chadema ndio waliomuua Wangwe.
Alipopolewa na jiwe na akaondoka akiwa na ngeu usoni. Next time unakutana naye kamwangalie kwa makini usoni/kichwani.
 
Kumbe Rostam yupo kotekote? naona hata kampuni yake inasaidia kwenye m4c! The king maker indeed he is.

Ile kichwa si mchezo, amini usiamini. Jinsi alivyomnyamazisha Mtikila kwa ile petty cash voucher, ilikuwa ni bab kubwa! Duh! kumbe alimtuma na Tarime? Rostam kiboko, anamtuma mpaka mchungaji?
 
Rev Mtikila kama Mtoto wa kambo ..ana point lakini Hasikilizwi kwenye Familia Kwishnei sijui yu wapi ? Jela?......nakumbuka wakati anakaa pale Flat za Breweries floor ya 4 au 3 kama sikosei na Bendera yake ya Tanganyika(nilikuwa naiona kwa vitabu na pale kwake) wakati nasoma pale shule ya Uhuru tunalima michicha tunaenda tunaeza uza zile flat pale..Daah Elimu ya Bongo haina Adabu Kabisaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kumbe Rostam yupo kotekote? naona hata kampuni yake inasaidia kwenye m4c! The king maker indeed he is.

Ile kichwa si mchezo, amini usiamini. Jinsi aliyomnyamazisha Mtikila kwa ile petty cash voucher, ilikuwa ni bab kubwa! Duh! kumbe alimtuma na Tarime? Rostam kiboko, anamtuma mpaka mchungaji?
If I had my way the only thing this Iranian infiltrator deserves is a bullet through his skull.
 
Ama kuhusu Nyerere na ujamaa, hapa aliulisha watu wengi mno kwa njia tofauti, kwa7bu aliwalazmisha watu kwenda kuishi sehemu hatari na wanyama wakali maradhi kiasi ambacho wengi walikufa.
Kwenye Elimu Tanganyika iliongoza. 99% Literacy
 
If I had my way the only thing this Iranian infiltrator deserves is a bullet through his skull.

Have you met him in person?

Infiltrated since 1800's, maybe that was before your grandpa became a Tanganyikan.
 
Mtikila hana lolote. Alichota hela kwa Rostam, alipobanwa akanywea!!! ni fisadi wa kisiasa.
 
Naanza kuwa na mashaka na uelewa wa wana jamii Forum wengine humu. Mtikila alizaliwa 1952 lakini cha ajabu mwaka 1967 tayari anatiwa misukosuko ya kisiasa.Tayari anao welewa kuhusu siasa ya ujamaa na Azimio la Arusha kwa ujumla.
Anaeleza mambo kiujanjaujanja tu haelezi miaka ya matukio nk. Kwa hiyo anajificha chini ya pazia la miaka na kendesha propoganda zake za kibaguzi.
Kwa ufupi Mtikila ANAMCHUKIA kila mwenye akili kumzidi.ni Mchungazi mwenye ubaguzi wa kutisha, mwenye kutoa matusi ya nguoni. Ana mapepo, angalieni mtiririko wa kilogic , haeleweki. Ni Mtikila aliyekuwa akijitambulisha mtetea haki za wanyoge aliyekuwa akitisha watu, blackmailing wahindi na kulipwa fedha hadi alipoumbuliwa na Rostam Aziz.
Mwambieni anyamaze.He is a bafoon.
 
Have you met him in person?

Infiltrated since 1800's, maybe that was before your grandpa became a Tanganyikan.
I have seen him but do not have and would not want to have any dealings with him. I am a 16th generation Tanganyikan, and in the 1800's my great grandfather was leading a crusade against the Masai cattle rustlers in Majita. There.
 
Naanza kuwa na mashaka na uelewa wa wana jamii Forum wengine humu. Mtikila alizaliwa 1952 lakini cha ajabu mwaka 1967 tayari anatiwa misukosuko ya kisiasa.Tayari anao welewa kuhusu siasa ya ujamaa na Azimio la Arusha kwa ujumla.
Anaeleza mambo kiujanjaujanja tu haelezi miaka ya matukio nk. Kwa hiyo anajificha chini ya pazia la miaka na kendesha propoganda zake za kibaguzi.
Kwa ufupi Mtikila ANAMCHUKIA kila mwenye akili kumzidi.ni Mchungazi mwenye ubaguzi wa kutisha, mwenye kutoa matusi ya nguoni. Ana mapepo, angalieni mtiririko wa kilogic , haeleweki. Ni Mtikila aliyekuwa akijitambulisha mtetea haki za wanyoge aliyekuwa akitisha watu, blackmailing wahindi na kulipwa fedha hadi alipoumbuliwa na Rostam Aziz.
Mwambieni anyamaze.He is a bafoon.
Tarita,
Mtikila ni aina fulani la tapeli la kisiasa. Mwaka 1994 alikuja nyumbani kwangu nikamuuliza huu uchungaji aliupata wapi?
Kumbe amejipachika. Hajawekewa mkono na kanisa lolote. Na ni form 4 leaver kumbe alifukuzwa shule na akaenda kufanya kazi Zanzibar, hence chuki zake dhidi ya Wazanzibari.
 
Mtikila ni mkweli hana tabia ya kulamba watu miguu. Ni kweli Nyerere alifeli kujenga nchi bora kwa kujifungia kwenye Ujamaa. Alifikili kila kitu kwa kutumia ujamaa. Alikuwa anafikili na kutenda ndani ya Boksi ujamaa aliamini ujamaa peke yake ndiyo tiba ya matatizo yetu.Alisahau kwamba waziri Mkuu wa aliyeijenga singapore LE-KUAN-YEW alitutaka kuwa pragmatic.Kufanya lolote ilimradi tunaona linaweza kuleta matunda na faida kubwa kwa nchi.Waulize yako wapi mashamba ya ujamaa ya vijiji.Yako wapi makampuni ya uchukuzi Mikoani.Mimi kwa maoni yangu Nyerere kwa makampuni tuliyoyaanzisha alitakiwa atafute Kuhire Management ya kuyaendesha kwa faida.Kwa mfano tungeomba kampuni kutoka China au nchi nyingine zenye uwezo wa kuendesha mashirika yetu kama Railway Tazara, viwanda na makampuni ya usafirishaji kwani kwa kipindi kile uwezo wa management kwa watu wetu ulikuwa mdogo. Kingine mambo ya vyama na Corporate management wapi na wapi , si mnakumbuka matawi ya vyama katika Viwanda na Mashirika ya Umma. Kufuta vyama vingi na haki za binadamu nalo pia lilikuwa kosa kubwa sana kwa Utawala wa Nyerere.
Tutajikomboa tu tukiwa wakweli kabisa bila kuficha kitu.
 
Mtikila Kiboko. Hatafuni maneno.
Hiyo ndiyo engilish ya zamani siyo siku hizi baadhi ya watanzania kafika mpaka chuo kikuu hata kale kainglishi cha kuandika na kuzungumza matatizo matupu mpaka achanganye na kilugha kidogo
 
Back
Top Bottom