Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
.
Kuna mtu anateseka hapa, si bora upite kimy kimya tu.Idiot
Huenda àna stress!Kuna mtu anateseka hapa, si bora upite kimy kimya tu.
Si ndo kawaambia sasa wamebaki wanashangaa na kujiuliza maswali tumpe kazi au?Hayo mazee hayana habari kabisa kama computer yao imehakiwa
Kijana apewe kazi yuko vizuri
Kweli mkuu kijana ameitendea haki taaluma yakeKijana apewe kazi yuko vizuri