MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Well said mkuu. Linapokuja suala la maisha/uhai ni kitu kisichohitaji masihara wala kejeli! Na ni kweli pia hiyo silaha kesho yaweza kukudhuru wewe au kama sio wewe ni ndugu jamaa au mtanzania mwingine yeyote ambae ni nguvu kazi!Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba anasema tukio limeondoa maisha ya askari wanne.
Majeruhi anaitwa Ally Chionda ambaye ni mfanyabiashara wa duka la vifaa vya ujenzi karibu na benki ya CRDB ambayo pilisi wamepoteza maisha.
Anadai walikuja majambazi kwenye muda kama wa saa 1:15 usiku wakiwa na pikipiki kama tano na kila pikipiki ilikuwa na watu wawili.
Kulikuwa na watu sita au saba ambao walikuwa wamebeba bunduki.
Walipofika walianza kupiga risasi upande wa eneo la benki na upande wa duka lake.
Bahati mbaya risasi moja ilimpata kwenye mguu wa kushoto ikatokeza na kwenda tena kwenye mguu wa kulia.
Majeruhi anaendelea vizuri na anategemea kufanyiwa x-ray kwa uchunguzi zaidi.
VIDEO.ANGALIZO:
Kuna baadhi ya watu wanaleta kejeli kuhusiana na tukio hili ambalo linasikitisha sana kwa watu wanaofahamu misingi ya kibinadamu.
Ni kweli binadamu tunatofautiana katika mitazamo lakini mizania ya kibinadamu huwa inapimwa wakati wa majonzi.
Hizo silaha walizopora inawezekana kesho zikatumika katika mwili wako au ndugu yako.
Tuombe uzima na Mungu awape faraja ndugu wa askari waliopoteza maisha wakiwa katika kazi ya kulinda maisha na mali za watanzania.
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba anasema tukio limeondoa maisha ya askari wanne.

Ni kuachana na siasa za kuonea wapinzani na kujikita kwenye maswala ya kuisalama kama haya.Pole kwa waliofiwa lkn police wajipange hasa katika vituo na malindo yaliyo nje.tufocus katika kuchangia hiko na tusiingize suala la namna gani wao wanavyojiandaa kuzuia mikutano ya tar moja kwa kuonya ,kupiga ,kuua au kukamata watu siku hiyo.hapa ni mbagala CRDB nn kifanyike kuondoa matukio haya ?