Mahmoud Ahmadinejad Rais wa zamani wa Iran naye auawa

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,076
Rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, ameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya ushirika kati Marekani na Israel. Profesa Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran kuanzia mwaka 2005 hadi 2013, na baada ya kustaafu alirudi kufundisha katika Chuo Kikuu cha Tehran, ambapo hadi umauti ulipomkuta alikuwa Profesa wa Idara ya Fizikia.

Kifo cha Ahmadinejad kinafuatia orodha ya vifo vya viongozi waandamizi wa Iran akiwemo Ayatollah Ali Khamenei aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa taifa hilo, na Said Abdulrahim Mousavi aliyekuwa Mkuu wa Majeshi.

Wengine waliouawa hadi sasa ni pamoja na Aziz Nasirzadeh - Waziri wa Ulinzi, Jenerali Mohammad Pakpour - Mkuu wa Kamandi ya nchi kavu, Jenerali Ali Shamkhani - Mkuu wa Usalama wa Taifa na mshauri wa Ayatollah Khamenei, Jenerali Hossein Jabal Amelian - Mkuu wa Taasisi ya Utafiti Jeshini, na Jenerali Mohammad Shirazi - Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Ayatollah Khamenei.

Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon 🙏🏽

---
Amid reports of former Iranian president Mahmoud Ahmadinejad’s death, Iranian state media says reports cannot be confirmed.

Israeli and international media report that the hardline former Iranian president was killed in a Saturday strike on his home, citing “state media.”

Some outlets cite the Iran Labor News Agency. However, the news site says explicitly that the reports “cannot be confirmed.”

“One of Mahmoud Ahmadinejad’s close associates, in contact with ILNA, denied the news of the martyrdom of the president of the ninth and tenth governments without any additional information, saying: ‘The news of his martyrdom is false,” according to the outlet

Neither Israel nor Iran have put out an official statement.

Source: https://www.timesofisrael.com/liveb...-state-media-says-it-cannot-confirm-his-fate/
 
Mohmoud Kichwa cha Physics hiko.

Iran wameanza........ Ngojea tuone huku bei za mafuta kwani asilimia 20-30 ya mafuta na gas hupita kwenye huo mfereji.
Screenshot_20260301_180224_Instagram.jpg
 
Rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, ameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya ushirika kati Marekani na Israel. Profesa Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran kuanzia mwaka 2005 hadi 2013, na baada ya kustaafu alirudi kufundisha katika Chuo Kikuu cha Tehran, ambapo hadi umauti ulipomkuta alikuwa Profesa wa Idara ya Fizikia.
Duh,
Hiyo operation ya sasa imetekelezwa kwa ufanisi mkubwa sana.
Walichofanya Israel na USA ni kama kuuwa mjusi kwa shoka, wametumia nguvu kubwa sana kwa kazi nyepesi
 
Wao wenyewe sasa wameanza kusema kuwa kuna MOSSAD kadhaa katika taasisi zao za ulinzi na usalama.
Waliwahi kuunda tume ya siri kupeleleza hilo, wakagundua baadaye kuwa hata mkuu wa hiyo tume yao ya uchunguzi alikuwa MOSAD..

Ahmed Najhad: Tuliunda kikosi cha Siri kuwatambua MOSAD waliojipenyeza Iran iIla aliyeongoza kikosi tulikuja kubaini ni agent wao | JamiiForums Ahmed Najhad: Tuliunda kikosi cha Siri kuwatambua MOSAD waliojipenyeza Iran iIla aliyeongoza kikosi tulikuja kubaini ni agent wao
 
Rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, ameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya ushirika kati Marekani na Israel. Profesa Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran kuanzia mwaka 2005 hadi 2013, na baada ya kustaafu alirudi kufundisha katika Chuo Kikuu cha Tehran, ambapo hadi umauti ulipomkuta alikuwa Profesa wa Idara ya Fizikia.

Kifo cha Ahmadinejad kinafuatia orodha ya vifo vya viongozi waandamizi wa Iran akiwemo Ayatollah Ali Khamenei aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa taifa hilo, na Said Abdulrahim Mousavi aliyekuwa Mkuu wa Majeshi.

Wengine waliouawa hadi sasa ni pamoja na Aziz Nasirzadeh - Waziri wa Ulinzi, Jenerali Mohammad Pakpour - Mkuu wa Kamandi ya nchi kavu, Jenerali Ali Shamkhani - Mkuu wa Usalama wa Taifa na mshauri wa Ayatollah Khamenei, Jenerali Hossein Jabal Amelian - Mkuu wa Taasisi ya Utafiti Jeshini, na Jenerali Mohammad Shirazi - Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Ayatollah Khamenei.

Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon 🙏🏽
Screenshot_20260301_184143_WhatsApp.jpg
 
Kuna snitch lazima
Sio snitch ni technology, wana satellites za high precision na artificial intelligence, ni kama kumvalisha mbwa kengere, kwa viongozi wa Iran wana picha zao karibu wote, wana feed kwenye face recognition application na technology nyingine ili kupata digital copy ID yako, then high precision camera za satellites na artificial intelligence for analysis zinapewa kukutafuta, waki zoom Tehran au popote kama uko around digital copy yako itatoa siri, wakishakuweka kwenye target huwezi kuchomoka tena na watakufuatilia every seconds of your life for life wakiamua, ndio maana umeona wanapiga viongozi wote wa Iran anytime wanavyotaka ni kwa sababu wanajua walipo all the time, hata wewe kama wana picha yako au iko online wakikutaka watakupata 100%, na nina uhakika wana more advanced technology kuliko hii
 
Hilo la kuwa na adveance tc ambayo hatuijui inawezekana
 
Wengine waliouawa hadi sasa ni pamoja na Aziz Nasirzadeh - Waziri wa Ulinzi, Jenerali Mohammad Pakpour - Mkuu wa Kamandi ya nchi kavu, Jenerali Ali Shamkhani - Mkuu wa Usalama wa Taifa na mshauri wa Ayatollah Khamenei, Jenerali Hossein Jabal Amelian - Mkuu wa Taasisi ya Utafiti Jeshini, na Jenerali Mohammad Shirazi - Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Ayatollah Khamenei.
Hawa nadikteta wannakufa kama nzige zasa zile jeuri huwa wanazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom