Wakuu habari.
Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu.
Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna watu Wana uhitaji wa hii huduma usisite kunitafuta nikuhudumie. Karibuni sana!!
Mnisaidie nisirudi kuchunga ng'ombe huko usukumani.
Shukurani.