Vp unamuda gani nayo kaka? ... Vp ipo imara? Spare hazipatikani kirahisi auMimi ndio natumia kama nakwenda nayo ofisini sema nn spare za tabu mafundi wa uswahili hawawezi kutengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo piki piki za Honda usipime bei yake ni 12mln kwa XLcc125 na Honda Trail 110 ni Mln 11 fika hapo Quality Motors wanaziuza. Ni pikipiki imara ya maisha.
Hizo pikipiki za kihindi zitakutesa. Tafuta Haojue Sports ni nzuri sana hazina vibration, tena nijiwe.Vp unamuda gani nayo kaka? ... Vp ipo imara? Spare hazipatikani kirahisi au
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu apo parefu kaka... Bei yangu ipo araundi milioni 2 tuHizo piki piki za Honda usipime bei yake ni 12mln kwa XLcc125 na Honda Trail 110 ni Mln 11 fika hapo Quality Motors wanaziuza. Ni pikipiki imara ya maisha.
Tatu siwezi kufika kaka ... Ninayo 2 tu ikiongezeka labda laki mojahabari mkuu. kwa pikipiki mkuu, mimi nauza pikipiki za honda.
Bei za pikipiki zetu
1) honda ace 125 cbd toleo la mwanzo - mil 2.9
2) honda ace 125 cbd toleo mpya - mil 3.0
3 honda ace 125 cb toleo mpya - mil 3.0
4) honda tuf 125 rough road - mil 3.1
kama unaweza ukaongeza pesa chukua moja wapo ya kati ya hizi pikipiki. punguzo ipo. ukihitaji picha whatsapp basi nitafute 0689-866100, 0717-518359.
Asante kwa ushahuri bro, hiyo hero bei kiasi ganiMkuu chukua pikipiki aina ya hero kuliko mahindra na hutojutia uamuz wako. Kwanza hero ni imara, hazina mtetemo na bei yake ni nafuu na hazinywi sana mafuta lita 1 kilomita 60 had 70. Mimi nilikuwa na hero cc 100 na sasa nina hero cc 125 na nina mwaka tangu niinunue na haijawai kusumbua chochote zaidi ya service ndogo ndogo kila baada ya miez mi3
Habari za sasa wana jf, nmekua nikitamani Sana kununua pikipki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi, Mimi sio mzoefu Sana kwenye haya mambo na hivyo nikaona naweza kupata msaada apa jf. Mpaka sasa kuna kautafiti nimefanya na pikipiki aina ya mahindra zimenivutia sana., sasa kwenu ninyi wazoefu wa pikipiki, je hili ni chaguo sahihi? Au kuna nyingine nzuri zaidi ya hiyo na bei zikawa zinaendana? , bajeti yangu ni around milioni 2. Naombeni ushauri wenu Tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ajali tu unaweza pata kwa piki piki yoyote .... Vp hyo pikipiki yake bado inafanya kaziKuna jirani yangu hapa Sinza alianguka na pikipiki ya Mahindra karibia miezi 5 iliyopita. Chanzo kilikuwa chuma, yaani alikuwa anaendesha alipofika Keko kuna kijichuma pale kwenye kitako alichokaa kilifyatuka na kumuingia tigoni kana kwamba anapigwa kidole. Jamaa alishituka na kukosea stepu ndipo akajikuta anarusha pikipiki na kuanguka vibaya. Mpaka sasa bado anachechemea. Mahindra hiyo, wanapenda kushikisha watu ukuta bila matarajio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ajali tu unaweza pata kwa piki piki yoyote .... Vp hyo pikipiki yake bado inafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko mwaka wa pili ndio spare hazipatikani kirahi ukipata bei imesimama sema ukifunga ufunga long life spareVp unamuda gani nayo kaka? ... Vp ipo imara? Spare hazipatikani kirahisi au
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pikipiki au alikuwa MTU??Kuna jirani yangu hapa Sinza alianguka na pikipiki ya Mahindra karibia miezi 5 iliyopita. Chanzo kilikuwa chuma, yaani alikuwa anaendesha alipofika Keko kuna kijichuma pale kwenye kitako alichokaa kilifyatuka na kumuingia tigoni kana kwamba anapigwa kidole. Jamaa alishituka na kukosea stepu ndipo akajikuta anarusha pikipiki na kuanguka vibaya. Mpaka sasa bado anachechemea. Mahindra hiyo, wanapenda kushikisha watu ukuta bila matarajio.
Dah hiyo piki piki bei yake utaiweza, ukiinua ikiwa mtumba Japan inafika cost karibu Mln 12...bado mpya hujaipata