Mahindi yaanza kushuka bei sokoni

Mahindi yaanza kushuka bei sokoni

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
MAHINDI YAANZA KUSHUKA BEI KWA KASI SOKONI.

Hali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika maeneo ya;

Mwanza
Geita
Bukoba
Bunda
Manyara
Kibaigwa - Dodoma.

Mchele umeendelea kubaki katika bei yake ya juu sababu mavuno ni mpaka mwezi wa 3 mwanzoni au katikati kutokana hali ya upandaji.

Kwa Upande wa Kanda ya Ziwa hususani
Mwanza, Geita, Bukoba na Kigoma hupanda kwa misimu miwili Desemba na huu mwezi wa Pili unaoanza hivi sasa.

Kwa wale Waliopanda mwezi Novemba na Desemba ndiyo wanavuna sasa
Mahindi huchukua siku 70 tu kuvunwa.
Na Maharage huchukua siku 60 kuvunwa kutoka siku ya kupandwa.
Mpunga wenyewe huchukua miezi minne hadi kuvunwa.

Bei ya Mahindi itaendelea kushuka kuanzia sasa hadi Wiki ijayo Mahindi debe itakuwa shilingi 10,000. Bei ya kawaida.

Madukani bei ya unga imepungua sasa. Ni ahueni kabisa kwa Wananchi. Hali hii imetokana na uwepo wa Mavuni katika baadhi ya kanda, usambazaji wa mahindi kutoka ghala la chakula na kupunguzwa import duty kwa bidhaa za Nafaka kama walivyokubaliana katika kikao cha Jumuiya ya Afrika mashariki hivi karibuni.

Kwa Upande wa manyara tumeshuhudia Gunia la Mahindi kuuzwa 85000 hadi 90000/= kutoka bei ya awali ya shilingi 120,000/=

Tupe chanzo cha taarifa tafadhali?
 
Hiyo ni effect iliyoletwa na chakula cha bei nafuu cha Serikali.

Inawabidi wafanyabiashara wapunguze bei ilia angalau na wao wauze.
 
MAHINDI YAANZA KUSHUKA BEI KWA KASI SOKONI.

Hali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika maeneo ya;

Mwanza
Geita
Bukoba
Bunda
Manyara
Kibaigwa - Dodoma.

Mchele umeendelea kubaki katika bei yake ya juu sababu mavuno ni mpaka mwezi wa 3 mwanzoni au katikati kutokana hali ya upandaji.

Kwa Upande wa Kanda ya Ziwa hususani
Mwanza, Geita, Bukoba na Kigoma hupanda kwa misimu miwili Desemba na huu mwezi wa Pili unaoanza hivi sasa.

Kwa wale Waliopanda mwezi Novemba na Desemba ndiyo wanavuna sasa
Mahindi huchukua siku 70 tu kuvunwa.
Na Maharage huchukua siku 60 kuvunwa kutoka siku ya kupandwa.
Mpunga wenyewe huchukua miezi minne hadi kuvunwa.

Bei ya Mahindi itaendelea kushuka kuanzia sasa hadi Wiki ijayo Mahindi debe itakuwa shilingi 10,000. Bei ya kawaida.

Madukani bei ya unga imepungua sasa. Ni ahueni kabisa kwa Wananchi. Hali hii imetokana na uwepo wa Mavuni katika baadhi ya kanda, usambazaji wa mahindi kutoka ghala la chakula na kupunguzwa import duty kwa bidhaa za Nafaka kama walivyokubaliana katika kikao cha Jumuiya ya Afrika mashariki hivi karibuni.

Kwa Upande wa manyara tumeshuhudia Gunia la Mahindi kuuzwa 85000 hadi 90000/= kutoka bei ya awali ya shilingi 120,000/=

USSR
Hii ni habari njema. Ila Watanzania tujifunze, sasa watu wapungue kwenye biashara za umachinga waende wakalime kwa kuwa FURSA imeonekana
 
Bashe ni waziri bora kabisa wa kilimo kuwahi kutokea!
Kilimo ni biashara kama zilivyo biashara zingine

Hakuna kupangiana bei, hakuna kufunga mipaka
 
Wakulima wanatakiwa kuuza mahindi yao kenya, somalia na s.sudan na siyo kwenye masoko ya ndani. Tunataka bei ya unga ifike angalau 4000 kwa kilo ili watu mtie akili
Wewe ukiwa na njaa unakosa akili

USSR
 
Kwa huku kushuka sio leo labda nwezi wa sita, mtu ana unga kanunua kwa bei juu alafu ashushe kiurahisi tu.
 
Nafaka za mahindi na mpunga zinashuka bei kwa sababu mavuno yameanza baadhi ya maeneo lakini pia muhogo kwa baadhi ya maeneo umeanza lakini zaidi mavuno ya viazi vitamu tayari hivo ni kawaida sana bei zitajibalance zenyewe wala hakuna sababu ya kulazimisha
 
Yakishuka muhifadhi sasa sio mnakuja kulia lia hapa kua serikali ifunge mipaka
 
Back
Top Bottom