😂😂 Kuna watu watakosa raha kwa hii habari, watakosa agenda za kuisakama serikaliHali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika maeneo ya;
Mwanza
Geita
Bukoba
Bunda
Manyara
Kibaigwa - Dodoma.
Mchele umeendelea kubaki katika bei yake ya juu sababu mavuno ni mpaka mwezi wa 3 mwanzoni au katikati kutokana hali ya upandaji.
Kwa Upande wa Kanda ya Ziwa hususani
Mwanza, Geita, Bukoba na Kigoma hupanda kwa misimu miwili Desemba na huu mwezi wa Pili unaoanza hivi sasa.
Kwa wale Waliopanda mwezi Novemba na Desemba ndiyo wanavuna sasa
Mahindi huchukua siku 70 tu kuvunwa.
Na Maharage huchukua siku 60 kuvunwa kutoka siku ya kupandwa.
Mpunga wenyewe huchukua miezi minne hadi kuvunwa.
Bei ya Mahindi itaendelea kushuka kuanzia sasa hadi Wiki ijayo Mahindi debe itakuwa shilingi 10,000. Bei ya kawaida.
Madukani bei ya unga imepungua sasa. Ni ahueni kabisa kwa Wananchi. Hali hii imetokana na uwepo wa Mavuni katika baadhi ya kanda, usambazaji wa mahindi kutoka ghala la chakula na kupunguzwa import duty kwa bidhaa za Nafaka kama walivyokubaliana katika kikao cha Jumuiya ya Afrika mashariki hivi karibuni.
Kwa Upande wa manyara tumeshuhudia Gunia la Mahindi kuuzwa 85000 hadi 90000/= kutoka bei ya awali ya shilingi 120,000/=
Usinifunge mdomo kutokuwa mkulima sio sababu ya kutokujua mambo ya kilimo!Huna data na si mkulima si vyema kujibu kila kitu kaka.
Kuna mbegu za miezi miwili unusu na si GMONi jambo jema
Hayo Mahindi ya Siku 70 ndio yepi Katumani au GMO?
Manjangata mtu wangu si wangesogeza tu hadi siku 90. Sasa hizo siku 15 wiki mbili tu zinatofauti gani?Seedco tumbili siku 75!
Nakazia bei iko palepale.huyu jamaa ni mwongo mm niko Bukoba muda huu na hakuna bei iliyopungua.aache kudanganya watu.
Usinifunge mdomo kutokuwa mkulima sio sababu ya kutokujua mambo ya kilimo!
Kama una data una hiyari ya kuziwasilisha
Nimetumia takribani 3/4 ya umri wangu kijijini kwahiyo sio kwamba Mimi sio mkulima Mimi Ni mtoto wa mkulima!
Nilisema .....Hali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika maeneo ya;
Mwanza
Geita
Bukoba
Bunda
Manyara
Kibaigwa - Dodoma.
Mchele umeendelea kubaki katika bei yake ya juu sababu mavuno ni mpaka mwezi wa 3 mwanzoni au katikati kutokana hali ya upandaji.
Kwa Upande wa Kanda ya Ziwa hususani
Mwanza, Geita, Bukoba na Kigoma hupanda kwa misimu miwili Desemba na huu mwezi wa Pili unaoanza hivi sasa.
Kwa wale Waliopanda mwezi Novemba na Desemba ndiyo wanavuna sasa
Mahindi huchukua siku 70 tu kuvunwa.
Na Maharage huchukua siku 60 kuvunwa kutoka siku ya kupandwa.
Mpunga wenyewe huchukua miezi minne hadi kuvunwa.
Bei ya Mahindi itaendelea kushuka kuanzia sasa hadi Wiki ijayo Mahindi debe itakuwa shilingi 10,000. Bei ya kawaida.
Madukani bei ya unga imepungua sasa. Ni ahueni kabisa kwa Wananchi. Hali hii imetokana na uwepo wa Mavuni katika baadhi ya kanda, usambazaji wa mahindi kutoka ghala la chakula na kupunguzwa import duty kwa bidhaa za Nafaka kama walivyokubaliana katika kikao cha Jumuiya ya Afrika mashariki hivi karibuni.
Kwa Upande wa manyara tumeshuhudia Gunia la Mahindi kuuzwa 85000 hadi 90000/= kutoka bei ya awali ya shilingi 120,000/=
Wanatangaza ili kutuchota akili! Na hizo 75 siyo kwamba utakuwa unatoa shambani. Yakomaa kwa moja moja lakini mpaka kuvuna kabisa yanaenda mpaka zaidi ya hizo 90! Ila kama umezidiwa familia haiwezi kulala njaa kwa kukosa unga maana kijijini huwa tunachukua machache ya kupukuchuaManjangata mtu wangu si wangesofeza tu hadi siku 90. Sasa hizo siku 15 wiki mbili tu zinatofauti gani?
Kiufupi tu wewe Ni narrow minded! Umetaka mwenyewe nifike huko! Ashakum sio matusi!Kanuni ni ileile kuwa karibu na mahakama hakukupi sifa ya kuwa Wakili. Jielimishe still una muda wa kunoa medula hiyo.
Hali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika maeneo ya;
Mwanza
Geita
Bukoba
Bunda
Manyara
Kibaigwa - Dodoma.
Mchele umeendelea kubaki katika bei yake ya juu sababu mavuno ni mpaka mwezi wa 3 mwanzoni au katikati kutokana hali ya upandaji.
Kwa Upande wa Kanda ya Ziwa hususani
Mwanza, Geita, Bukoba na Kigoma hupanda kwa misimu miwili Desemba na huu mwezi wa Pili unaoanza hivi sasa.
Kwa wale Waliopanda mwezi Novemba na Desemba ndiyo wanavuna sasa
Mahindi huchukua siku 70 tu kuvunwa.
Na Maharage huchukua siku 60 kuvunwa kutoka siku ya kupandwa.
Mpunga wenyewe huchukua miezi minne hadi kuvunwa.
Bei ya Mahindi itaendelea kushuka kuanzia sasa hadi Wiki ijayo Mahindi debe itakuwa shilingi 10,000. Bei ya kawaida.
Madukani bei ya unga imepungua sasa. Ni ahueni kabisa kwa Wananchi. Hali hii imetokana na uwepo wa Mavuni katika baadhi ya kanda, usambazaji wa mahindi kutoka ghala la chakula na kupunguzwa import duty kwa bidhaa za Nafaka kama walivyokubaliana katika kikao cha Jumuiya ya Afrika mashariki hivi karibuni.
Kwa Upande wa manyara tumeshuhudia Gunia la Mahindi kuuzwa 85000 hadi 90000/= kutoka bei ya awali ya shilingi 120,000/=
😂😂 Kuna watu watakosa raha kwa hii habari, watakosa agenda za kuisakama serikali
Yani umeandika Kama uko serious kweli kweli yani! Kwa kauli za serikali kuhalalisha uoandaji wa bidhaa muhimu ikiwemo mafuta na nafaka unadhani Kuna mfanyabiashara atakubali kupunguza Bei kwa stock aliyonayo ama ghalani au dukani?😂😂 Kuna watu watakosa raha kwa hii habari, watakosa agenda za kuisakama serikali
Mtoa hoja anastahili kupewa PhD ya heshima ya mchongo,
Bei za mazao bado ni maumivu , maeneo aliyoyataja hapo yanategemea mahindi na mchele kutoka nyanda za juu magharibi na kusini ambako bado bei ni hivi; mahindi debe sh. 25,000. , Maharage kilo sh.3500 hadi 4000kg,. Mchele sh. 2500kg Sasa iweje bei iwe katika mwenendo huo huko? Na istoshe mazao mapya bado kukomaa ambayo tungetegemea yangeteremsha bei iliopo sokoni.
Yani umeandika Kama uko serious kweli kweli yani! Kwa kauli za serikali kuhalalisha uoandaji wa bidhaa muhimu ikiwemo mafuta na nafaka unadhani Kuna mfanyabiashara atakubali kupunguza Bei kwa stock aliyonayo ama ghalani au dukani?
Nakupa tu mfano wa mafuta, serikali iliweka fedha lakini Bei ya mafuta ilibakia na imebakia pale pale juu na LATRA wanaridhia uoandaji wa nauli.
Kwa mantiki hiyo licha ya kwamba kutakua na abundance of grain bado kutakua na kisingizio Cha kupaanda kwa gharama za usafirishaji.
Madelu ameendelea kujificha kwenye kivuli Cha UVIKO 19 pamoja na Vita vya Ukraine, na kuwananga wabunge wasijadili maswala ya Uchumi Bali waganga wa kienyeji! Ni mfanyabishara yupi atapunguza Bei ya nafaka wakati Kuna uhalalishwaji huo, huku chawa wakipinga kuwa maharagwe hayajafika 4000 Wala mchele sio 3500+ na nyama haijafika 10ks? Bali Ni watu wanaisnanga serikali?
Msomali amesema tusitarajie kuwa serikali itakubali kuwafanya wakulima maskini kwa kuzuia chakula kuuzwa nje ili Bei ishuke kidogo! Serikali itanunua kwa wakulima na kuwauzia watumiaji, anasisitiza sio wafanyabiashara Bali mtumiaji mmoja mmoja!
Hapo unapata ukakasi kwamba je Sasa hivi Ni muda wa mavuno? Au wafanyabiashara wanauza kile ambacho wamelangua kwa wakulima? Kiuhalisia hakuna mkulima mwenye mazao anayeuza Sasa hivi HAKUNA!
Anavyosema atawauzia walaji mmoja mmoja unajiuliza je tumerudi enzi za mwalimu kwenye maduka yanushirika na yale ya serikali ya Kijiji kwamba tutaenda kupanga foleni kwa ajili ya kununua bidhaa?
Itashuka kwakuwa mvua zinanyesha, waliofungia mazao ili wayauze kwa bei ya juu wamegundua wakiendelea kuyafungia supply itakuwa kubwwa na mwisho watauza kwa hasara
In short wewe Ni propagandist Kama wengine and your avarter defines it!Hakuna mkulima atakayekufa masikini kipindi hiki Bashe akiwa Waziri wa Kilimo.
Unaposema hakuna mkulima mwenye chakula ndani leo hii unakosea sana. Wakulima wana akiba kubwa ya chakula ukifika malinyi leo mchele upo mwingi wa kutosha na bei ni nafuu kabisa.
heriHali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika maeneo ya;