Mahindi ya njano yanapatikana wapi?

Mahindi ya njano yanapatikana wapi?

Imvubhu

Senior Member
Joined
Aug 27, 2017
Posts
181
Reaction score
172
habari wana bodi.
Nauliza mahindi ya njano naweza kupata kwa nani na yanauzwa bei gani? Niko singida mjini nayatafuta tafadhali
 
Mkuu muone Mzee wa Msoga (JK) juzi kati Millard Ayo kamtembelea shambani kwake amevuna mahindi ya njano mengi sana. Kwa ufupi hata ukihitaji tani moja atakuuzia.
 
Mahindi ya njano, yapo mashambani kwa wingi sana.
 
asante sana kiongozi
Mkuu muone Mzee wa Msoga (JK) juzi kati Millard Ayo kamtembelea shambani kwake amevuna mahindi ya njano mengi sana. Kwa ufupi hata ukihitaji tani moja atakuuzia.
.
 
Msoga! Kwa JK. Nenda ofisi ya mbunge wa Chalinze wakupe namba ya Riz 1 ufanye naye biashara.
 
habari wana bodi.
Nauliza mahindi ya njano naweza kupata kwa nani na yanauzwa bei gani? Niko singida mjini nayatafuta tafadhali
Mimi ninayo tank 3nimetoka kuvuna. Karibu tufanye biashara. 0754268333
 
guys habari zen,
natafuta mahindi ya kusaga unga sijajuwa nitayapata wap.
 
Back
Top Bottom