Mahindi ya kuchoma ni bora kuliko pop corn

Mahindi ya kuchoma ni bora kuliko pop corn

mpaka muv iishe magunzi gunia tatu yatapatikana.
Na changamoto ingine itakuwa ni wadau kujisahau hadi kutafuna hadi magunzi hasa wakati wa horror movies kwa hofu! Yaani mdau anakuwa anatetemeka, katoa macho, huku kakalia kalio moja kwa hofu hadi anatafuna gunzi! Hahahahaaa! Terrible!
 
Kiutamaduni wa sinema, popcorn nddo snack iloenea kutumika kwa event hiyo!!! Sijui kwanini ila hatujachelewa kuanzisha utamaduni wetu!!! Ila tuangalie na utengenezaji wa hayo mahindi pia...

Paprika,
Kibongobongo, mtu anamaliza, kopo la popcorn yaani dakika 5 kabla event kuanza.

Mahindi choma, yatasaidia sana!.

Pia, kuwa na utamaduni wetu siyo tatizo, mbona miji mingi mikubwa duniani, pana migahawa ya vyakula asili hasa vya jamii za kutoka Afrika, na China sasa ana anzisha migahawa yake takribani kila nchi !!

Nasi twaweza fanya vyetu aiseee
 
wanajamvi mnaonaje watanzania tukaanzisha utamaduni wa kuingia kwenye kumbi za sinema kama pale Quality Centre na mahindi ya kuchoma badala ya pop corn. unajua mahindi ya kuchoma ni fresh kutoka shamba kuliko mahindi ya pop corn yamekaaa weee ndo yanakuja kukaangwa, awepo mchoma mahindi pale nje unanunua hindi lako unatafuna punje moja moja huku unacheki movie kama tunavyootaga moto kule kwa bibi na kusimuliana hadithi. Hizi tamaduni za kizungu ni za kibwege sana, kuna siku nimenunua pop corn za sukari zikanishinda kula. mi nasema wazungu waje waingie movie na mahindi wapate cha kusimuliaView attachment 507435 View attachment 507436
nyenye ndo mnaosababisha mahindi yazidi kupanda bei.washenz sana nyie mnatak mle Mahindi kweny masinema hamjui wazee wenu wanapata tabu huku vijijin wanakwambia wazo Zuli wanakupotisha shaur yak utauziw kilo elfu 5
 
Hiyo itasaidia soko letu la mahindi choma kuwa juu maana wakulima pia watatokea hapo.
 
nyenye ndo mnaosababisha mahindi yazidi kupanda bei.washenz sana nyie mnatak mle Mahindi kweny masinema hamjui wazee wenu wanapata tabu huku vijijin wanakwambia wazo Zuli wanakupotisha shaur yak utauziw kilo elfu 5
Tatizo siyo matumizi yepi ya mahindi. Dawa ni mimi na wewe tuzalishe zaidi kulingana na mahitaji. Yawe yamechomwa, kupikwa au kupata unga yote ni matumizi halali na mtumiaji anaenda sawa. Labda kama una malalamiko mengine.
 
Paprika,
Kibongobongo, mtu anamaliza, kopo la popcorn yaani dakika 5 kabla event kuanza.

Mahindi choma, yatasaidia sana!.

Pia, kuwa na utamaduni wetu siyo tatizo,iona miji mingi mikubwa duniani, pana migahawa ya vyakula asili hasa vya jamii za kutoka Afrika, na China sasa ana anzisha migahawa yake takribani kila nchi !!

Nasi twaweza fanya vyetu aiseee
Njaa tu inawasumbua hao wanaomaliza popcorn mapema hivyooo!!! Yaani ile inatakiwa kuchangamsha mdomo polepole unavyoangalia movie... Sio chakula! Sasa wabongo njaa na ushamba mwingi.

Anyway idea yako ni nzuri...
 
Mkuu unaonaje zikitumika karanga mbichi badala ya bisi?
 
Kweli kabisa, mahindi ya kuchoma mazuri mno kuliko hizo pop corn.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom