Mahindi ya gobo

Mahindi ya gobo

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
37
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi.

Nitashukuru kujua hilo
 
mkuu weka namba yako ... nikupeleke kweny grupu la wakulima wakufahamishe
 
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi.

Nitashukuru kujua hilo
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi.

Nitashukuru kujua hilo
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi.

Nitashukuru kujua hilo
Tafuta mahindi ya DK 9089. ni mbegu nzuri sana na inasukari nyingi hivyo ni tamu sana ukichom. sifa kuu ni kwamba inatoa magunzi mawili hadi matatu kwa mche mmoja.
 
Inapatikana mikoani? Niko Mbeya mkuu
 
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi.

Nitashukuru kujua hilo
Tafuta DK 9089 ni nzuri sana na inazaa mbili hadi tatu
 
Tumbili aifai kwa mbeya mkuu

Wengi waliokushauri jukwaani wamekudanganya.Lazima uulizwe swali upo wapi? mbegu za mahindi zinategemea na hali ya hewa ya mahali unapotaka kuzalishia.Muulizie Afisa Kilimo aliye jirani na wewe.
 
Umeongea point mkuu
 
Tafuta mahindi ya DK 9089. ni mbegu nzuri sana na inasukari nyingi hivyo ni tamu sana ukichom. sifa kuu ni kwamba inatoa magunzi mawili hadi matatu kwa mche mmoja.
Ukiona mbegu ya kihivyo ujue mahindi yake hayawi makubwa
 
Yaani shina likizaa mahindi zaidi ya mawili hua yanakuwa madogo au mamwili makubwa na moja linakuwa gunzi na punje chache

Hapana inategemeana na mbegu
Pia ardhi na rutuba
Pioneer huwa inatoa mbili mpk tatu au yote makubwa
 
Back
Top Bottom