Alexanderkapinga
New Member
- Aug 8, 2020
- 1
- 0
Mahindi kilo 100 inaweza kuzalisha sembe kilo ngapi?
Na atapata gunia ngapi za pumba?70kg
Na atapata gunia ngapi za pumba?
Hi? Epuka mahindi mapya, na yaliingiliwa.Chukua 100 toa 70 utapata 30 kwa hesabu ya haraka haraka