Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

Philistine na Palestine ni vitu ambavyo havifanani na hakuna archeological evidence. Jerusalem ina historia kubwa tunakubali lakini mji si wa watu uwe wa nchi na Waebrania na Wapelestina wakae nchi moja Israel
nazareth-map1.gif

Chukua na hiyo... bethlehem ni israel au palestine? Je yesu ni Israel au Palestine... kwa kuzaliwa? kwanini Bethlehem haizungumziwi sana na Yesu wana mbatiza kuwa ni wa nazaret?
 
When the Christmas season draws near each year, the Nativity story is revisited in churches and households around the world. Passages from Matthew 1–2 and Luke 1–2, the infancy narratives in the Gospels, are read and sung—and even acted out in Christmas pageants.

Where was Jesus born? In the Bible, the answer seems straightforward: Bethlehem. Both Matthew 2 and Luke 2 state that Jesus was born in Bethlehem in Judea.

However, Biblical scholarship has recently called the identification of Bethlehem as Jesus’ birthplace into question: If Jesus was indeed born in Bethlehem, why is he called a Nazorean and a Galilean throughout the New Testament, and why is Bethlehem not mentioned as Jesus’ birthplace outside of the infancy narratives in the Gospels? This has caused some to wonder if Jesus was actually born in Nazareth.

hizo zina fanana na Nazaret na Galilaya?
 
Umenena vema mkuu mimi sioni haja ya viongozi wetu kujadili hii ishu
Kweli mkuu ni bora kunyamaza. Wa Israel wenyewe ndo wataamua mji wao mkuu uwe upi. Hapa Tanzania ilikuwa Dar sasa ni Dodoma kwani kuna taifa litabisha?
 
Duuh mkuu una hoja ila "imani inakwenda na kufanya kazi kwa bidii mkuu na si kuamini na kukaa eti utakuwa na uchumi mzuri kisa unaamini Israel ni Taifa teule"
Vzur mkuu lkn ebu jaribu kuperuzi kidogo tuu ulinganishe mataifa yanayoikubali Israel na yanayo mpinga wana nguvu gani!?.kuanzia kiuchumi na mambo mengine!.Hvi wajua nnchi zote zile za falme za kiarabu(Emirets) wapo vzur kwa sababu ya kitu kimoja tu huwa wanaikubali Israel nao wamebarikiwa.then rudi kwa zile zisizo ikubali uangalie tafran yake kuanzia Sirya,iraq,libya,lebanon nk.kuna kitu hapo mjombaa tusiwe wabishi tuu.
 
Tabu tabuni... jina lako lipo hivyo.... hahahahahaha.... una pata tabu sana katika hili... ebu jaribu kupitia alafu utuwekee hapa unacho kizungumza na sio hizo hoja zako....

NB:
Kupinga kwa namna gani? Maazimio ya UN ktk suala la Jerusalem au una maanisha nini? nipe msimamo wa Omani, kuweit, Denmark, China, Russia, N.Korea, Uk au (EU) nk...
 
Wengi tunajisahaulisha! Pale Kurasini palikuwa na kambi ya PLO.
Ufukara una athari kubwa katika ubongo ndio maana wengi hatuhitaji kufikiri zaidi ya kisemwacho.
Na hii ndiyo laana na uchawi tuliologwa nao wa Tz kutoikubali Israel kuwa Taifa teule la Mungu.Tutabak sema tuu nani katuloga lkn ukweli ndiyo huo tuikubali Israel na tena tufungue na ubaloz wao hapa then utaona mambo yanakuwaje.Hatuwez kuwa na kila kitu lkn hatusogei.Na wasiolikubal hili ata akija kiongoz Malaika hii Nnchi tutabaki hivi hvi.
 
Tabu tabuni... jina lako lipo hivyo.... hahahahahaha.... una pata tabu sana katika hili... ebu jaribu kupitia alafu utuwekee hapa unacho kizungumza na sio hizo hoja zako....

NB:
Kupinga kwa namna gani? Maazimio ya UN ktk suala la Jerusalem au una maanisha nini? nipe msimamo wa Omani, kuweit, Denmark, China, Russia, N.Korea, Uk au (EU) nk...

Vzur kiongoz nitaanzia na hapo kwenye nnchi ulizo taja.labda nikwambie hv Un ni shirika ambalo limewekwa tu kwa sababu ya kutupumbaza na ndiyo maana halina nguvu mbele ya Mmarekani,Israel nk.kwenye hzo nnchi hapo kwanza kuweit ni inakubali Israel na ndiyo maana wapo vzuri.ukija kwa N.korea wale wana mwamini mtu wao na hawana dini kabisa na ndiyo shida waliyo nayo na wanayo yafanya unaona ni sahii kwani!?

Ukija kwa wachina ata hawaamini uwepo wa mungu so tuachane nao.Urusi nao wale wana shida tangu ikiwa haijasambaratishwa kipindi kile cha (Ussr) Na yale mataifa yaliyo tengana na umoja wa Ussr angalia hali waliyo nayo ikiwemo Urus yenyewe.Uk hapa anatoa tamko kupinga tu lkn wao na mmarekani ni mtu na dada yake.na walishawai sema ukimchokoza Mmarekani ni umemchokoza Muingereza.then soma kitu kinachoitwa Diamond forevar ndiyo utajua nguvu ya Israel.
 
Vzur kiongoz nitaanzia na hapo kwenye nnchi ulizo taja.labda nikwambie hv Un ni shirika ambalo limewekwa tu kwa sababu ya kutupumbaza na ndiyo maana halina nguvu mbele ya Mmarekani,Israel nk.kwenye hzo nnchi hapo kwanza kuweit ni inakubali Israel na ndiyo maana wapo vzuri.ukija kwa N.korea wale wana mwamini mtu wao na hawana dini kabisa na ndiyo shida waliyo nayo na wanayo yafanya unaona ni sahii kwani!?..Ukija kwa wachina ata hawaamini uwepo wa mungu so tuachane nao.Urusi nao wale wana shida tangu ikiwa haijasambaratishwa kipindi kile cha (Ussr) Na yale mataifa yaliyo tengana na umoja wa Ussr angalia hali waliyo nayo ikiwemo Urus yenyewe.Uk hapa anatoa tamko kupinga tu lkn wao na mmarekani ni mtu na dada yake.na walishawai sema ukimchokoza Mmarekani ni umemchokoza Muingereza.then soma kitu kinachoitwa Diamond forevar ndiyo utajua nguvu ya Israel.
sina cha kuongea juu ya hoja zako... maana bado hazina majibu... ila zina maswali....
 
Dunia yapinga na kulaani uamuzi wa Trump juu ya Jerusalem
 
merlin_130941189_025fdbb3-db43-4aec-a48e-4225d46e76d0-master675.jpg

thumbs_b_c_3210a7e46329f946c78615afce95d9c8.jpg

CHAIRMAN MOUSSA FAKI, Addis Ababa

Nimesikitishwa na uamuzi ambao utaongeza machafuko katika eneo hilo na kwingineko,.

ANTONIO GUTERRES, New York

Ni uamuzi wa upande mmoja ambao unahatarisha matumaini ya amani kwa Waisraeli na Wapalestina.

PAPA FRANSISCO, Vatican
Jerusalem ni mji wa kipekee, mtakatifu kwa Wayahudi, Wakristo, Waislam. Ninasali kwa Mola ili utambuzi huo ubakie hivyo na uimarishwe kwa manufaa Nchi Takatifu, Mashariki ya Kati na dunia nzima, na busara itawale, kuepuka tashtiti mpya katika dunia ambayo tayari ishatingishwa na kutiwa makovu na machafuko ya kikatili.

ANGELA MERKEL, Berlin

Ujerumani haiungi mkono msimamo huu, kwa sababu hali ya Jerusalem inatakiwa kutatuliwa katika mtazamo wa suluhisho la kuwa na mataifa-pacha.

GENG SHUANG, Peeking
Tunachokihofia ni kulipuka kwa machafuko eneo hilo. Hali ya Jerusalem ni tete na nyeti.

PAOLO GENTILONI, Rome

Jerusalem ni mji mtakatifu, wa kipekee duniani. Mustakabali wake utaundwa kwa mrengo wa mchakato wa amani unaobebwa na mataifa hayo mawili, Israel na Palestina

THERESA MAY, London
Ubalozi wa Uingereza upo Tel Aviv, na hakuna mpango wa kuuhamisha

EMMANUEL MACRON, Paris
Ni uamuzi wa kujutia. Ufaransa haiupitishi uamuzi, unapingana na sheria za kimataifa na unadharau maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

ARCH-BISHOP TUTU, Johannesburg
Mungu anabubujika machozi juu ya Donald Trump kuamua kibaguzi na kichochezi kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Ni jukumu letu kumwambia Bwana Trump unakosea.
 
Well done Hon. Mahiga for correcting him. Hon. Job Ndugai is most useless Speaker of the National Assembly Tanzania they ever had! I won't suprise he said he has no understanding on international affairs as you do.
mhhh! kaandika Ndugai mwenyewe hiki kiinglish au ni wewe!?
 
Back
Top Bottom