Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Vyombo vya Habari vya Kimataifa vimemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai akisema anaunga mkono tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

African states may follow Trump Jerusalem embassy move: Tanzania's speaker

Tanzania imekana kuwa inaunga mkono tamko hilo

Aiongea na Gazeti la The Citizen, waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga alisema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa bado inaitambua Tel Aviv kama mji mkuu wa Israel

Ubalozi wetu upo Tel Aviv na utaendelea kubaki hapo. Kuna nchi zimetushawishi ila tutabaki Tel Aviv

Jana Rais Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kusema Marekani itahamishia ubalozi wake mji huo jambo ambalo limekosolewa duniani kote
IMG-20171213-WA0077.jpg

========

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Dar es Salaam. Tanzania has distanced itself from international media reports that the East African nation was supporting the US recognition of Jerusalem as the capital of Israel.

Speaking to The Citizen on Thursday, December 7, the minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga, said Tanzania, just like the international community, continues to recognize Tel Aviv as the Israeli capital city.

“Our embassy is in Tel Aviv and we’ll remain there. Some countries have tried to convince us. We will remain in Tel Aviv,” though he declined to give detailed comments over the issue.

Yesterday, US president Donald Trump announced that the US now recognise Jerusalem as the capital of the Israel State, promising that his country will shift its embassy from Tel Aviv to Jerusalem, the announcement was received with criticism from various parties around the world.

Source: The Citizen
 
Vyombo vya Habari vya Kimataifa vimemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai akisema anaunga mkono tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

African states may follow Trump Jerusalem embassy move: Tanzania's speaker

Tanzania imekana kuwa inaunga mkono tamko hilo

Aiongea na Gazeti la The Citizen, waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga alisema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa bado inaitambua Tel Aviv kama mji mkuu wa Israel

Ubalozi wetu upo Tel Aviv na utaendelea kubaki hapo. Kuna nchi zimetushawishi ila tutabaki Tel Aviv

Jana Rais Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kusema Marekani itahamishia ubalozi wake mji huo jambo ambalo limekoseolewa duniani kote

=============================================================

Speaker ana ropoka anakurupuka
 
Tusiingilie huu ujinga hata kidogo, Marekani inaweza kudeal na mataifa ya waislamu sio Tanzania, tusijaribu kabisa kuingilia vita vya wapalestina na waisraeli, sehemu zote mbili ziko backed up na mataifa powerful, tukiingilia tunajiweka kwenye black list ya mataifa ya waislamu mapema sana, soon utaanza kusikia ISIS Tanzania.

Hawajaambiwa watoe tamko kama wanaunga mkono au la, wasijipendekeze. Huyu spika hua anatamka bila kufikiria, sio kitu cha kwanza anasema ovyo, hakuna faida yoyote ile kuliongelea hili swala.
 
Vyombo vya Habari vya Kimataifa vimemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai akisema anaunga mkono tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

African states may follow Trump Jerusalem embassy move: Tanzania's speaker

Tanzania imekana kuwa inaunga mkono tamko hilo

Aiongea na Gazeti la The Citizen, waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga alisema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa bado inaitambua Tel Aviv kama mji mkuu wa Israel

Ubalozi wetu upo Tel Aviv na utaendelea kubaki hapo. Kuna nchi zimetushawishi ila tutabaki Tel Aviv

Jana Rais Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kusema Marekani itahamishia ubalozi wake mji huo jambo ambalo limekoseolewa duniani kote

=============================================================

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Dar es Salaam. Tanzania has distanced itself from international media reports that the East African nation was supporting the US recognition of Jerusalem as the capital of Israel.

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Speaking to The Citizen on Thursday, December 7, the minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga, said Tanzania, just like the international community, continues to recognize Tel Aviv as the Israeli capital city.

“Our embassy is in Tel Aviv and we’ll remain there. Some countries have tried to convince us. We will remain in Tel Aviv,” though he declined to give detailed comments over the issue.

Yesterday, US president Donald Trump announced that the US now recognise Jerusalem as the capital of the Israel State, promising that his country will shift its embassy from Tel Aviv to Jerusalem, the announcement was received with criticism from various parties around the world.

Source: The Citizen

irrelevant country

vp nani kahamia ccm leo?
 
Sikudhani hata siku moja nigeweza kuwa na jambo tunalokubaliana na Spika Ndugai, Mimi binafsi natambua na kuunga mkono Jerusalem kuwa ndio mji mkuu wa Israel.

Kama Spika kweli hana mamlaka labda tu kama aliongea kibinafsi (na alipaswa atamke bayana kuwa ni maoni yake na sio ya Mhimili)
 
Vyombo vya Habari vya Kimataifa vimemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai akisema anaunga mkono tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

African states may follow Trump Jerusalem embassy move: Tanzania's speaker

Tanzania imekana kuwa inaunga mkono tamko hilo

Aiongea na Gazeti la The Citizen, waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga alisema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa bado inaitambua Tel Aviv kama mji mkuu wa Israel

Ubalozi wetu upo Tel Aviv na utaendelea kubaki hapo. Kuna nchi zimetushawishi ila tutabaki Tel Aviv

Jana Rais Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kusema Marekani itahamishia ubalozi wake mji huo jambo ambalo limekoseolewa duniani kote

=============================================================

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Dar es Salaam. Tanzania has distanced itself from international media reports that the East African nation was supporting the US recognition of Jerusalem as the capital of Israel.

International media outlets have quoted National Assembly Speaker Job Ndugai saying Tanzania was supporting announcement made by US President Donald Trump.

Speaking to The Citizen on Thursday, December 7, the minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga, said Tanzania, just like the international community, continues to recognize Tel Aviv as the Israeli capital city.

“Our embassy is in Tel Aviv and we’ll remain there. Some countries have tried to convince us. We will remain in Tel Aviv,” though he declined to give detailed comments over the issue.

Yesterday, US president Donald Trump announced that the US now recognise Jerusalem as the capital of the Israel State, promising that his country will shift its embassy from Tel Aviv to Jerusalem, the announcement was received with criticism from various parties around the world.

Source: The Citizen
Wanautambua vizuri tuu.hapo wanajifanya vichaa.
 
Job Ndugai akisema anaunga mkono tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

Yawezekana alidhani kila makao makuu ya nchi yanayohama yanakuwa na undugu na Dodoma, hivi hatuwezi kuwa na msemaji mmoja tu kwenye mambo ya kimataifa?
 
Tusiingilie huu ujinga hata kidogo, Marekani inaweza kudeal na mataifa ya wailamu sio Tanzania, tusijaribu kabisa kuingilia vita vya wapalestina na waisraeli, sehemu zote mbili ziko backed up na mataifa powerful, tukiingilia tunajiweka kwenye black list ya mataifa ya waislamu mapema sana, soon utaanza kusikia ISIS Tanzania.

Hawajaambiwa watoe tamko kama wanaunga mkono au la, wasijipendekeze.
Umenena vema mkuu mimi sioni haja ya viongozi wetu kujadili hii ishu
 
Back
Top Bottom