Obe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2007
- 9,982
- 34,476
Sasa akipewa mzigo anaweza kukamua hizo tano???????
Hapana, sio tano! Atakamua 6 kama 1977:wacko:
Sasa akipewa mzigo anaweza kukamua hizo tano???????
Aisee... Aisee! Inaonyesha tayari kademu kashapata mimba tayari..... jamaa ni hatari kwa kupiga kavukavu asee! Lazima kajifungue mapacha!tano......
View attachment 53737
Aisee... Aisee! Inaonyesha tayari kademu kashapata mimba tayari..... jamaa ni hatari kwa kupiga kavukavu asee! Lazima kajifungue mapacha!
haki miliki ya picha uliyotumia?
Hiyo si ndoa ya kudumu ni ya muda mfupi tu.
Mbona simba hawakutumia tafsida uwanja wa Taifa na huwalalamikii? Acha ubaguzi!babu tumia tafsida basi ee
Sasa akipewa mzigo anaweza kukamua hizo tano???????
hats off simba. you deserve all the plaudits mwaka huu. kutesa kwa zamu, siyo?
but remember hii ya juzi ni moja tu ya mechi zipatazo 200 ambazo yanga na simba wamecheza tangu miaka ile. katika hizo yanga imeshinda 82 wakati simba imeshinda 77.
hii achilia mbali hazina iliyopo kwenye trophy cabinet la jangwani ukilinganisha na la msimbazi.
kwa hiyo simba bado wana-play catch up. good luck.
Yeboyebo kapakatwa
mimi ninachojua wazee wa yanga waliamua kumuondoa rais wa yanga.
Simba mdebwedo tu.