Mahariiiiiiiiiiiii imeshatolewaaa mahariiii ishatolewaaaa dada huyooooo

Loh! Kaaz kwel kwel! Mwanaume baada ya kupiga cha awali akapumzika kidogo....baadae vikafuata vinne vya mfululizo! Alitaka kuua bila kukusudia???
 
hats off simba. you deserve all the plaudits mwaka huu. kutesa kwa zamu, siyo?

but remember hii ya juzi ni moja tu ya mechi zipatazo 200 ambazo yanga na simba wamecheza tangu miaka ile. katika hizo yanga imeshinda 82 wakati simba imeshinda 77.

hii achilia mbali hazina iliyopo kwenye trophy cabinet la jangwani ukilinganisha na la msimbazi.

kwa hiyo simba bado wana-play catch up. good luck.
 
acha kujifariji wewe umepigwa mtu wangu maneno mengi ya nini kujitetea
 
mimi ninachojua wazee wa yanga waliamua kumuondoa rais wa yanga.
Simba mdebwedo tu.
 
anapounguruma simba hucheza nani...??! wengine wajifunze kutoka kwa yanga...!!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom