Mahari

Mahari

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Wanajamii,naomba kwa wale walioa kwa wameru au wanafahamu taratibu za mahari kwa wameru inakuaje?awamu ya kwanza unaenda na nini na awamu zingine ni nini.naomba jappo kwa kifupi tu mpangilio wao unakuaje
natanguliza shukrani
 
Wewe tafuta mshenga aende kuulizia kimila, upewe list ujipange upeleke uchukue jiko hilo! Koo hazifanani!
 
Mkuu tafuta mshenga wa kabila hilo au anayefahamu tamaduni na mila zao
 
Kuliko kuulizia humu jf mmu, ni afadhali hapo ulipo umtafute mwenyeji wa huko ukweni (Mmeru) akupe picha kamili ya taratibu zao za ulipaji mahari.
Hongera na nakutakia kazi nzuri ya kutoa mahari.
 
Kama jina lako la Ngaramtoni ni ile ya Arusha,,basi nauli ni kama 500 hadi 1000 nenda maeneo ya Usariver kuna wazee wa Kimeru wengi watakupa msaada mkubwa.
Nice start
 
Peleka tank moja la "loshoro" (joke)
Tafuta wazee wenyewe wa sehemu husika.
 
Ndugu yangu POLE, hao kimila ni sawa kabisa na wachaga wa Machame wale; UTIRI DABO KEBINI, UTIRI ELEGHI,utakoma kuringa tafuta kama 2M hivi
 
Waungwana wana jamii nashukuruni sana,mmenipa idea nzuri nilikuwa nimeshasahau kuwa natakiwa kuwa na mshenga,well,wengine wamenishauri niende kwa wazee wa mitaa hiyo niwaulize suala ambalo ni vema,tatizo ni kwamba nipo mbali na arusha kwa sasa na nilitaka nifanye logistics zote hukuhuku ili nikifika arusha iwe ni utekelezaji tu,
nadhani nilifanyie kazi issue ya mshenga tena mwenye experience na upandee wa wameru.
 
Wanajamii,naomba kwa wale walioa kwa wameru au wanafahamu taratibu za mahari kwa wameru inakuaje?awamu ya kwanza unaenda na nini na awamu zingine ni nini.naomba jappo kwa kifupi tu mpangilio wao unakuaje
natanguliza shukrani

kaka c umuulize huyo mtarajiwa wako au ndo wataka fanya suprise
 
kaka c umuulize huyo mtarajiwa wako au ndo wataka fanya suprise

si ajabu mtarajiwa mwenyewe ni ka wewe, kazaliwa hapo Amana...huko Meru huwa anakuona kwenye taarifa ya habari tena wakati ule mashamba ya walima bange yanavyochomwa moto na polisi...
 
si ajabu mtarajiwa mwenyewe ni ka wewe, kazaliwa hapo Amana...huko Meru huwa anakuona kwenye taarifa ya habari tena wakati ule mashamba ya walima bange yanavyochomwa moto na polisi...

i love it, nakuona unavyokuja indirect, usijali me nazijua mila zote natoa mkanda mwanzo mwisho, wory out
 
i love it, nakuona unavyokuja indirect, usijali me nazijua mila zote natoa mkanda mwanzo mwisho, wory out

basi du ze nidful, toa somo kama somoe, umpashe huyu bwana kaka asijekosea taratibu...ila Wameru mmhh wana hasira Wanyalukolo hawaingii ndani
 
Wewe tafuta mshenga aende kuulizia kimila, upewe list ujipange upeleke uchukue jiko hilo! Koo hazifanani!

Siku hizi Tunautokomeza Ukabila, we nenda mkuu na kitu chochote ambacho una uwezo nacho , mtume mshenga kama lara1 anavyokushauri
 
Mi nimeoa kule. Kitu cha maana unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuanza majadiliano na meneja wa BONITE aliye karibu nawe ili kama anaweza kukuuzia SODA kwa bei ya jumla. Wale garama yao ni SODA tuu.. utanunua SODA hadi uchanganyikiwe. Kuna sijui SODA za kubisha hodi, SODA za kukaribishwa, SODA za kuita wazee, SODA za kikao cha mahari, SODA za mama, SODA za mashangazi, SODA........... !! Lol
 
Wanajamii,naomba kwa wale walioa kwa wameru au wanafahamu taratibu za mahari kwa wameru inakuaje?awamu ya kwanza unaenda na nini na awamu zingine ni nini.naomba jappo kwa kifupi tu mpangilio wao unakuaje
natanguliza shukrani

Kama huyo mwanamke msomi andaa m.3 unamaliza kila kitu mi nilipigwa hiyo.
 
Back
Top Bottom