Mahari zingine bhana

Mahari zingine bhana

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,752
mahali.jpg

Hapo bado fedha taslim, hela za shangazi na mazagazaga mengine. Kukomoana huku!
 
Hiyo ndoa itadumu kweli, maana mahari ya mkuu wa meza sijawahi ona wala sikia
 
Noma sana, nakumbuka miaka flani nikamsindikiza msela wangu kutoa mahari, moja la hitaji la wakwe ilikuwa wapelekewe mbuzi. Basi tukanunua mbuzi then jamaa akamuweka kwenye buti ya gari. Safari mpaka kwa wakwe hapo tumepaki tumesahau kama mbuzi yupo mule. Wakwe wanatiki vitu haya kreti la bia, mbuzi dooh. Wakaenda mchukua mbuzi akazima mbele ya watu nikasikia mbibi kwa mbali anasema laaanaaa hii. Ndio maana siku hizi mahari ni cash tu.
 
Sasa mkuu mlifanikiwa kuchukua mke au??
 
Back
Top Bottom