Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,569
Sasa mbona imeshakufa?
hapana mkuu,walitaka tuwape na mizani tukagundua kuwa wanataka kuanzisha mradi wa bucha.Sasa mkuu mlifanikiwa kuchukua mke au??
Ndio maana si wengine tunatundika mimba tu biashara imekwisha.
Njoo uoe huku kwetu Pwani, mahari haizidi 70,000/=Hao Noah wanne tayali milioni imefika. Bado hayo maboksi na mazagazaga mengine? Yani mi mahali mwisho Laki 7 , ikizidi hapo napiga mimba
Mijivyuma mzee baba, mbona hata waganga siku hizi wanaagiza?Hiyo ndoa itadumu kweli, maana mahari ya mkuu wa meza sijawahi ona wala sikia
Seriously?Mijivyuma mzee baba, mbona hata waganga siku hizi wanaagiza?