Mahari Zetu Wakurya

Mahari Zetu Wakurya

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
249
Umesikia hiyo mahari jamaa kapeleka tarime?
  • panga la kaka
  • bunduki ya baba
  • sime ya mama
  • shoka la mjomba
  • upinde wa binamu
  • gongo
  • mbegu za bangi.







 
eeeh, jamani acheni matani hayo, sasa nitapata wapi mimi hayo maSMG
 
Si bora wale wanaotaka mahari ya simba dume na kichwa cha tembo na faru. Na mkojo wa nyati, na mate ya cobra.
 
eeeh, jamani acheni matani hayo, sasa nitapata wapi mimi hayo maSMG

nimeibua sista duu wa kikurya, ananiambia amevaa sket,under skirt, kigwamba cha jeanz, kaptura ya kaki, kaptura ya jinga ya shule ya msingi, bukta, skin tight, chupi ya Tmk wanaume, na vip ndani.
 
kama kawa bujibuji in the house. Enheeee hebu tamwagie uhondo
 
aLIYELETA THREAD HII LAZIMA AWE MHAYA. mBONA KWENU MNALETE SENENE KAMA MAHARI WAKATI NI WADUDU
 
Niliwahi kusafiri kwa basi na binti wa kikurya kutoka Dar kwenda Mwanza katika maongezi tukajikutana tunaulizana makabila...nikamuuliza nackia nyie wanawake wa kikurya mwanaume asipokutandika unadai hakupendi? akasema ni kweli kabisa na ndio maana ni mara chache kukuta binti wa kikurya ameolewa na mtu wa kabila tofauti. Sasa nikamuuliza kama mie mmakonde kupiga sio jadi yetu tutawezena kweli? akaniambia nitatafuta kila sababu lazima unitwange angalau kila baada ya miezi sita nipate kichapo tena unatakiwa unitandike kweli sio kibao kimoja unatulia...Nilikuwa mpole tu!
 
Back
Top Bottom