Mil. 5 kwa single mother...???!!!Hata milion 5 unatoa kutokana na ulivyompenda.
Mi kuna single mom, alinipenda katika uhai wangu hakuna aliyenipenda sana Kama yeye japo wapo waliokuja badala yake.
Na imani nikifa , tutaonana Tena.
Rest in peace mainah.
Atakaebeba hilo kopo!!!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sijui kwanini baadhi ya watu wanawaogopa sana Wanawake ambao tayari wana Mtoto/Watoto!
Mahari inategemea kama binti ni bikra ni kubwa kuliko ambaye siyo bikra, then mahari ya single mum ni ndogo zaidi ya ambaye hana mtoto hata kama ashatoa mimba 100. Hii inatokana na mzigo unaojitwisha na gunia la misukari unalolikubali kulibeba. Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ni wajanja sana, kwa amateur ataona singo maza ana mapenzi ya dhati! Thubutu yeye ana experiences za kuishi na wanaume na ukijitokeza tu, lazima uchanganyikiwe.
Bora kama unataka kuoa singo maza afadhali kidogo kwa mbali mtoto wake awe ni wa kike. Akiwa wa kiume, jiandae siku moja atakutandika. Tumeyaona mengi bandugu
Ni single Mum Mkuu, una swali lingine?Mbona unapita pembeni, status yako vipi? Single mum au?
Majina namjua.Hata milion 5 unatoa kutokana na ulivyompenda.
Mi kuna single mom, alinipenda katika uhai wangu hakuna aliyenipenda sana Kama yeye japo wapo waliokuja badala yake.
Na imani nikifa , tutaonana Tena.
Rest in peace mainah😥😥😥.
Sitaki
kuna mdau aliwahi kusema mwanaume mwenye akili timamu hawezi akaoa single mother
atakutandika kivipi?Mahari inategemea kama binti ni bikra ni kubwa kuliko ambaye siyo bikra, then mahari ya single mum ni ndogo zaidi ya ambaye hana mtoto hata kama ashatoa mimba 100. Hii inatokana na mzigo unaojitwisha na gunia la misukari unalolikubali kulibeba. Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ni wajanja sana, kwa amateur ataona singo maza ana mapenzi ya dhati! Thubutu yeye ana experiences za kuishi na wanaume na ukijitokeza tu, lazima uchanganyikiwe.
Bora kama unataka kuoa singo maza afadhali kidogo kwa mbali mtoto wake awe ni wa kike. Akiwa wa kiume, jiandae siku moja atakutandika. Tumeyaona mengi bandugu
hata single mother inawezekana akawa alitoa mimba piaJamani waacheni single mothers wapumzike kwani nao ni binadamu kama wengine. Tena kuna muda mwingine katika maisha ni afadhali single mother aliyeamua kuzaa kwa mimba ya utamu wa kuskilizia kuliko haya magume gume yaliyokwisha gongwa zaidi ya mara 100, then unaona umechukua mtoto mbichi kumbe ameshatoa mimba kama 5.
"Tushukuru lami imegunduliwa rangi yake nyeusi"
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Hata kama alitoa mimba, kitendo cha kuzaa peke yake kinaashiria uzazi upo.hata single mother inawezekana akawa alitoa mimba pia
kuna mdau aliwahi kusema mwanaume mwenye akili timamu hawezi akaoa single mother
Wengi wametandikwa ndugu yangu, wengine tulinyoosha mikono baada ya watoto kuwa mibaba na kuonja Katakutandika kivipi?
Bikira inakusaidia nini katika ndoaHivi kijana anayeoa unaanzaje kuoa single mother wakati wabichi wamejaa tele unaanzaje kumtambulisha kwenu kwa wazazi, mashangazi wajomba?
Binafsi kuoa mwanamke asiye na bikra nitajiuliza mara mbili mbili sembuse mfupa uliomshinda fisi mimi ndo nitauweza.
Mwanamke aliyezalia nyumbani hana sifa za kuwa mke.
Sent using Jamii Forums mobile app