Mahari ya Single Mom

Mahari ya Single Mom

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,090
Facebook nako Kuna vihoja jamani.
Screenshot_20200404-221423.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakaebeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Mkuu punguza kidogo ukali wa maneno Daah, si vyema sana kuwa na maneno makali hivyo
 
Mkuu hivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndio unaenda Oa?
Mahari kubwa that's why amejimwambafy hapo but mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.

Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.

Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.

Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
 
mahari kubwa that's why amejimwambafy hapo but mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakabeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
hata yeye mwenyewe single mother atakudharau kwamba huyu hajaona wanawake wote kaniona mimi
 
Mkuu ivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndo unaenda Oa?Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.

Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.

Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.

Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
hata single mother inawezekana alitoa mimba pia
 
Hivi kijana anayeoa unaanzaje kuoa single mother wakati wabichi wamejaa tele unaanzaje kumtambulisha kwenu kwa wazazi, mashangazi wajomba?

Binafsi kuoa mwanamke asiye na bikra nitajiuliza mara mbili mbili sembuse mfupa uliomshinda fisi mimi ndo nitauweza.
Mwanamke aliyezalia nyumbani hana sifa za kuwa mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom