Mahari shilingi milioni 5?

Na usipopata mteja wa kununua huo mtumba?
 
Ana qualification gani?maana ya elimu.kazi anayofanya nk,je ni bikra kote?
 
Sielewi kwanini watu wanaoa??? Weka mtu ndani mkivurugana kila mtu anaenda kivyake. Mimi hata shilling 1000 sitoi na sherehe sijui nini hio sahau kabisa.
 
Dada angu kaolewa kwa mil 12 namaisha yanaendaaa aseee alitajiwa ml 16 wakaomb kupunguziwa mkioa uko wetu mjipangeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…