Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Misimamo mikali ya aina hii hata ukiwa na uwezo wa kulipa mahari ujue hiyo familia itakuendesha! La kushangaza binti anafungamana na ndugu! Huyu akufai kijana! Piga chini! Mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa natafuta mwenza atakayekuwa upande wangu no matter what! Sio naolewa kwao na bintiNi kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.
Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emo
washamba tu, sema mwamba badae asije sariti.. akaongeza kibunda akaenda chuka manzi yake.. haya mambo hayatabiriki 😬😬Kuna mademu wana pride sana
Nusu mlio.. sema kama mwanamke ana kazi na anahitaji ndoa wachangiane pasu kwa pasu.Hio Laki 5 irudi mapema, uchumi Umekua mgumu sana ye anatupa laki 5 kabisa, yaani Nusu milioni!
Bado, watamtesa Jamaa na kumuendesha.Nusu mlio.. sema kama mwanamke ana kazi na anahitaji ndoa wachangiane pasu kwa pasu.
Hyo ni mara moja Kwa wakurya hatar tupu , mabinti Wana umbo matata Ila Sura miyeyushoNi kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.
Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Kama alitest mitambo sijui kama watamrudishia ...wataitwa mashangazi kupimaMimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa.
Hahaaa wazee wengine watata hata ukipiga mimba huondoki na mkeKama jamaa anampenda huyo binti na anaona ni wife material, mwambie ampige mimba halafu atulie. Atashangaa analipa mahali 1m badala ya ile 2.5m aliyopanga awali.
Unapiga mimba ya pili. Kikubwa usimtelekeze tu binti yao.Hahaaa wazee wengine watata hata ukipiga mimba huondoki na mke
Mahari kibongobongo hazifuati dini za wahusika bali mila za kabila na ukoo huo.Mahari ni nini?
Kwenye dini, mahari ni zawadi anayopewa binti na mumewe mtarajiwa, zawadi hii inatajwa n mwanamke mwenyewe.
Ni kama vile ahsante yake kwa kukubalia kumuoa,
Ni Umemuomba umuoe, kakubali, sasa ndio unamuomba akutajie zawadi ya kumpa kwa kukubali ombi lako, nae anakutajia(hiyo ndio mahari)
anaekupenda hakukomoi
Mbona hiyo nyingi hivo anahamia kwa bure tena kwa kukupigia magotiKama jamaa anampenda huyo binti na anaona ni wife material, mwambie ampige mimba halafu atulie. Atashangaa analipa mahali 1m badala ya ile 2.5m aliyopanga awali.
Hapo ndipo tatizo linapokuja, tunamix dini na mila.. kama ni mila tembea n mila kama ni dini nenda kidini,Mahari kibongobongo hazifuati dini za wahusika bali mila za kabila na ukoo huo.
Jamaa ampige huyo mdada kibendi halafu ndiyo awaambie wazazi wa huyo binti "kaeni na mtoto wenu atawafaa uzeeni"Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja" nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.